tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hela zipo ni wewe na mipango yako tu...Ndani ya week 2 almost gari mpya 5000 za kiraia zimesajiliwa Tanzania
Sijui kama umenotice hata ujenzi wa nyumba za kisasa umekua kwa kasi sana nje ya mji hata mikoani,yani watu wanakamua kila idara