Wivu na roho mbaya vitakuua ungali mdogoNimeona Afghanistan sio Dar..,
View attachment 2336139
View attachment 2336140
View attachment 2336141
View attachment 2336142











Dar is a slum financial district with 3 government towers.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃThe best 007 hii ndio muonekano wa "Upper Hill" ama "Westlands" ya Dar!, tall buildings ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
View attachment 2336146
Kwa kweli sielewi hawa watu wanatumia vigezo gani Kampala nimefika nikajionea kwa macho yangu siyo kuisoma google, pako hovyo mkuu.Kampala hii hii yenye vumbi? Umewahi kufika au unakubaliana na kila kitu kinachoi discredit nchi yako.
this one realy reminds me that day i was in Los Angeles. CalGeza uthobothwe ulisema JW Marriott haitafunguliwa Nairobi. We mzee meza wembe.
View attachment 2336201
Simba kafungua njia kwa timu zetuHizi timu zetu soon utasikia Nike, Adidas, puma, NB, haoo wameingia.

tana riverTaja county yoyote Kenya niatakuonesha Slums na mauchafu kuizunguka, Slums na mauchafu Kenya yapo mpk ikulu.
MwanzaMombasa City
View attachment 2336133
Waache wakae nae ila hela itokanayo na maonesho ya huyo mnyama watupatie. Sisi hatutaweza kutunza.Kulikuwa na huo mpango sijui umefikia wapi!
Entebbe ni mji mdogo uliotulia uko vizuri kidogo kuliko kampala. Ikulu ya Uganda iko EntebbeNi kweli na nilishangaa sana kuwa hapo ndio makao makuu ya nchi.
Mbarara nilishaenda, Masaka unapita ukiwa unakwenda Kampala, labda Entebbe ndipo sijafika huenda ukawa mji mzuri kushinda hiyo mingine.
Kutakuwa na uwazi wa hiyo pesa kwamba inaingia? Siamini mikataba yao kama inaweza kufanya kazi huku rasimali yetu ikiwa kwao,muda wowote wanasitisha kisha tunaanza malumbano.Waache wakae nae ila hela itokanayo na maonesho ya huyo mnyama watupatie. Sisi hatutaweza kutunza.