NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,386
- 17,968
Mimi huona wakilinganisha Mwanza na Kisumu nacheka tu.🤣🤣
Mimi huona wakilinganisha Mwanza na Kisumu nacheka tu.🤣🤣
hivi, ya pili kwao ndo ya nne kwetu! 😆😆Mimi huona wakilinganisha Mwanza na Kisumu nacheka tu.🤣🤣
Yani kulingana nawe hii ya kwanza ni mall kubwa na ya pili ni retail store? 🤣 🤣 🤣Malls za kampala ni retail stores zilizojengwa kwenye viwanja vikubwa, otherwise in kampala hakuna mall hata moja yenye inawezana na na Malls kubwa za DSM
Hii City Mall ni ugly sana. Inafanana warehouse.Yani kulingana nawe hii ya kwanza ni mall kubwa na ya pili ni retail store? 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
kila cku inapost ilo kolokocho lako ata kufanya kazi alifanyi amakweliChuma safi chuma mpya. Proudly Kenyan 🇰🇪 View attachment 2336440
Hiyo ndio retail store yet anaita za kwengine retail stores.🤣🤣Hii City Mall ni ugly sana. Inafanana warehouse.
Tanzania hamtengenezi electric buses wacha ndoto za mchana.View attachment 2336446
izi chuma zipo kazini
Kwamba dar kuna mall moja ama?Hii hapa ndio mall kubwa Dar
![]()
Naweza ilinganisha na Buffalo Mall, Naivasha
![]()
Ama Ananas Mall Thika
![]()
Meanwhile Cheki Acacia mall Kampala which is arguably the largest in Kampala.
![]()
Hapa kuna Arena Mall Kampala
![]()
Hapa kuna Kingdom Kampala Mall
![]()
Garden City Mall Kampala
![]()
Oasis Mall Kampala
![]()
Forest Mall Kampala
![]()
Kiukweli Dar kwa malls bado sana especially for a city it's size. Kampala is second only to Nairobi in East and Central Africa tukija kwa malls.
tuusan
Sama boy 255
Tz_one