Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nasubiri tren za umeme zije..ndo nitaamini haya maneno yako

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ila mchina kitu alichomfanyia jirani sio kabisa,angalia kitu alichopeleka indonesia na alichowapa kunyan ni tofauti
20220824_183532.jpg
20220824_183523.jpg
20220824_183527.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220826-151527.png
    Screenshot_20220826-151527.png
    105.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220826-200415.png
    Screenshot_20220826-200415.png
    119 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220826-200432.png
    Screenshot_20220826-200432.png
    40.2 KB · Views: 7
Nchemba economics! Yet kaondoa tax kwenye betting firms!
Vodacom wanasingizia tozo Kwa failure ya management yao..

Voda Kwa miaka mingi walikuwa wezi,wanafanya mismanagement ya rasilimali na walikuwa wame relax Sana..

Mwaka Jana walitangaza loss na hiyo sababu hikuwepo ila baada ya kukimbiwa na wateja kwa sababu za wizi wa bando,bando na mda kuisha haraka bila utaratibu na makato makubwa.kwenye transactions..

Ni mwehu tuj ndio atabakia Huko,Wakati wao wanalia Lia Airtel,Halotel na Tigo wameongeza market share na transactions,kwani kwao hakukuwa na tozo?

Mwisho kama Voda wanalialia vipi hii Taarifa hapa chini?👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220521-213837.png
    Screenshot_20220521-213837.png
    129.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220521-215651.png
    Screenshot_20220521-215651.png
    122.4 KB · Views: 9
Usiwe mwepesi wa kukurupuka kama wenzako walivyo.., graph inasema ":excluding South African cities".., yaani wale are not ranked amongst African countries, wako stage ya juu.., sisi sio watu wa propaganda na kulazimisha eti tuonekane tuko juu kama wengi wenu mlivyo.., mko na matatizo ya inferiority complex na blind patriotism..,
View attachment 2335580
Ni kweli nilikurupuka sikuwa nimesoma vizuri. My apology comrades.
 
Usiwe mwepesi wa kukurupuka kama wenzako walivyo.., graph inasema ":excluding South African cities".., yaani wale are not ranked amongst African countries, wako stage ya juu.., sisi sio watu wa propaganda na kulazimisha eti tuonekane tuko juu kama wengi wenu mlivyo.., mko na matatizo ya inferiority complex na blind patriotism..,
View attachment 2335580
Hivi vitu vingine kabla hujapost unatakiwa utumie common sense tu, usilazimishe vitu mzee eti kisa list imekuplace at the top, kwaakili yako timamu Kampala inaizidi DAR kwa Malls.? Usije ukadhani vitu vya malls ni vitu vya kufikirika manzee, Malls tunazungumzia vitu vinavyookana kwa macho.. usiwe punguani hata unatukana watu kwa kulazimisha uongo uwe ukweli..
 
Neno excluding sikuwa nimeliona. Lakini bado nasimamia kwenye reasoning yako. Kampala nimewahi kufika sikuona cha ajabu pale,labda siku hizi kuwe kumebadilika ghafla.
 
Back
Top Bottom