Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oya we jamaa leta picha au videos usiniletee vimaneno maneno, tuone kama utawezana.. nipo hapa kukuelimisha wewe mbulula unaemezeshwa matango kwa jina la research, niko hapa kukueleza DAR ambayo wewe hujui.. leta picha au videos tuone kama hautakimbia..
Dunia ya leo Dar mtu asiijue, nenda ukadanganye washamba wenzako kule vijijini kwenu kilaza., kama ata findings za Knight Frank haukuelewa unaongelea ukubwa wa mall mbili ama tatu Lagos na beauty, ambayo ni opinion ya mtu binafsi, article inazungumzia sq metres in total., nyambaff, kalilie kwa choo mko chini ya Kampala 😂 😂 😂 😂
 
Unanichosha babu ni Asubuhi hii, umekosa picha.? Tahira wewe
 
Unanichosha babu ni Asubuhi hii, umekosa picha.? Tahira wewe
Siwezi argue na kilaza kama wewe, vitu obvious unang'ang'ana kupingana, wewe ni punguani wa kiaina, na nilikuambia take a chill pill and relax, naona siku yako isha anza kuharibika, nilikuonya najua wewe ni mwepesi wa hasira ya kitoto., man take a break, nenda ukajivinjari utakufa kwa ulcers, hauna uwezo wa kudhibiti ukweli usiopenda wewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kwahyo kwaakili zako wewe unaweza niharibia mimi siku.? Wewe ni Dem wangu wew..? Kwamba umeninyima uchi.? 🤣🤣🤣.. use ur common sense Bro
 
Hivi vitu vingine kabla hujapost unatakiwa utumie common sense tu, usilazimishe vitu mzee eti kisa list imekuplace at the top, kwaakili yako timamu Kampala inaizidi DAR kwa Malls.? Usije ukadhani vitu vya malls ni vitu vya kufikirika manzee, Malls tunazungumzia vitu vinavyookana kwa macho.. usiwe punguani hata unatukana watu kwa kulazimisha uongo uwe ukweli..
Kampala umeuzidi Dar kwa malls. Labda kama hujafika Kampala.
 
Hapo umenena.., it happened to some streets in Nairobi, where some were reduced to one way street for motorists, and pedestrian walks expanded, and most streets in Mombasa old town.., due to narrowness.
Huwa unajisikia raha ukiona mtu kaizungumzia vby Dar, eti hapo umenena...., it happened to some streets in ka Nairobi, yn in ka Nairobi ni some streets but in Dar umependa kusikia jamaa akisema all, upumbavu huo.
 
Back
Top Bottom