Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utaratibu tuliojiwekea kila baada ya nyumba nne kuna duka lenye mahitaji karibu yote na genge pembeni....kila baada ya nyumba 5 kuna mgahawa mzuri, pub maduka ya nguo nk inafanya uwekezaji wa malls usiwe kipaumbele...
Ingekua makazi ya watu ni nyumba tu basi malls zingekua nyingi sana
Ni kweli kabisa,ila kwa hizo sehemu nilizotaja watu wakitia pesa kuna fursa sana maana kupo pembezoni na kipato hakipo vibaya
 
Ugliest and dirtiest city in the world so far!

Angalia hizo mud buildings around CBD, kunyans mbona ghorofa zenu kama mud huts? Hazina rangi hazina style!

Nairobi ni pachafu sana...imagine hio ni uptown Nairobi wanaposifia kila siku...


Watu hawaogi sijui check walivyo wachafu...wanakula ovyo hovyo...yani sio wastaarabu kabisa...


Check barabara zilivyo chafu...matatu ni mbaya na ni chafu haswa....


Halafu wanajiita developedc city..kweli hii ndo developed city..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huwa unajisikia raha ukiona mtu kaizungumzia vby Dar, eti hapo umenena...., it happened to some streets in ka Nairobi, yn in ka Nairobi ni some streets but in Dar umependa kusikia jamaa akisema all, upumbavu huo.
Kunywa juice ya ukwaju baridi na miwa kwa bill yako, naona ulcers zimepanda 😂 😂 😂 😂 😂 Walker255 gave an objective suggestion, a positive mind, wewe na uchawi yako unakurupuka., usizoe kupingana na ukweli mjukuu, utaendelea kuumia tu hadi basi😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Huwa unajisikia raha ukiona mtu kaizungumzia vby Dar, eti hapo umenena...., it happened to some streets in ka Nairobi, yn in ka Nairobi ni some streets but in Dar umependa kusikia jamaa akisema all, upumbavu huo.
Pole sikua nimeona hii clip ya 2022 vizuri.., hapa sio Dar, ni Afghanistan, just relax bro, ni weekend 😂 😂 😂
 
Malls za kampala ni retail stores zilizojengwa kwenye viwanja vikubwa, otherwise in kampala hakuna mall hata moja yenye inawezana na na Malls kubwa za DSM
Okay, wachana na Kampala, what about Nairobi?.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nikitaja Mombasa sentensi moja na Dar is slum wengine wananuna humu., miji yenye culture za kislamu zina muonekano sawa in most cases..,




Dar
 
Mombasa City
1661586106854.png
 
Malls za kampala ni retail stores zilizojengwa kwenye viwanja vikubwa, otherwise in kampala hakuna mall hata moja yenye inawezana na na Malls kubwa za DSM
Wakunya hamjawaelewa, at least joto la jiwe anawaelewa vzr sn, wako hivi, wakiona battle inawaelemea huwa wanaanza kuipotezea battle kwa kuingiza vitu ambavyo havihusiani, mfano atatafuta nchi ambayo ni inferior zaidi alinganishe na yenu alafu wewe ukiingia kichwa kichwa anakutoa kwenye mchezo mana hapo hata kisaikolojia utaona ikiwa Dar inazidiwa na Kampala vipi ka Nairobi, hapo tayari anakuwa ameshinda wakati uhalisia hauko hivyo.

Kenya wana Mall moja tu ambayo unaweza kuiita Mall na inaitwa Two Rivers, zingine zote ni uchafu, sisi tuna Malls chache ukilinganisha na Malls uchafu zilizo ndani ya ka Nairobi lkn ni classic.

Uganda siwezi kuizungumzia mana bado ni kijiji nchi nzima. Kwa kumalizia tu naomba muwe mnawaelewa hawa mbwa tunao battle nao, wana tabia fulani mbaya mbaya za kutaka kushinda kila kitu japo hali halisi haiko hivyo, angalieni joto la jiwe au ichoboy01 anavyotembea nao, msiwape nafasi kabisa, mfano hapo kwenye battle ya Malls msikubali kuhama kutoka Dar vs ka Nairobi to Dar vs Kampala.
 
Back
Top Bottom