Wakunya hamjawaelewa, at least
joto la jiwe anawaelewa vzr sn, wako hivi, wakiona battle inawaelemea huwa wanaanza kuipotezea battle kwa kuingiza vitu ambavyo havihusiani, mfano atatafuta nchi ambayo ni inferior zaidi alinganishe na yenu alafu wewe ukiingia kichwa kichwa anakutoa kwenye mchezo mana hapo hata kisaikolojia utaona ikiwa Dar inazidiwa na Kampala vipi ka Nairobi, hapo tayari anakuwa ameshinda wakati uhalisia hauko hivyo.
Kenya wana Mall moja tu ambayo unaweza kuiita Mall na inaitwa Two Rivers, zingine zote ni uchafu, sisi tuna Malls chache ukilinganisha na Malls uchafu zilizo ndani ya ka Nairobi lkn ni classic.
Uganda siwezi kuizungumzia mana bado ni kijiji nchi nzima. Kwa kumalizia tu naomba muwe mnawaelewa hawa mbwa tunao battle nao, wana tabia fulani mbaya mbaya za kutaka kushinda kila kitu japo hali halisi haiko hivyo, angalieni
joto la jiwe au
ichoboy01 anavyotembea nao, msiwape nafasi kabisa, mfano hapo kwenye battle ya Malls msikubali kuhama kutoka Dar vs ka Nairobi to Dar vs Kampala.