muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Shenzi tyme! Na bado....watafeli sana. bora nipande gari niende mbagala kuchukua elfu kumi yangu kuliko kutumiwa kwenye M-pesa!
Shenzi tyme! Na bado....watafeli sana. bora nipande gari niende mbagala kuchukua elfu kumi yangu kuliko kutumiwa kwenye M-pesa!
yani, na una ubavu kudai eti mwanza ni kubwa kushinda kisumu 3×times!...!🤔🤔We jamaa Don YF njoo hapa 👇 Mwanza city outside CBD View attachment 2334654View attachment 2334655View attachment 2334656View attachment 2334657View attachment 2334658View attachment 2334659usiwe unailinganisha your village centers kwa Mwanza City Bro, toa heshima panapostahili.. Mwanza ni kubwa na imeendelea kuliko ARUSHA and Kisumu combined, ukiachana na ule ukubwa wa CBD ya Mwanza which is three times bigger to kidumu's CBD and two times bigger to Arusha CBD . Lakin bado Mwanza iko na maeneo yaliyoendelea na makubwa zaidi y.. shughuli za kiuchumi ndio wala tuzizungumzie .. HESHIMA UFUATE MKONDO WAKE
Wacha domo domo those pictures are very clear, nimeweka picha na wewe jitee kwa picha..Yaani mbona unapenda kujikaza hivyo, na kulazimisha fikra zako uchwara?, jikubali, go back and check haya yote nili post kilaza.., tokea CBD hadi nje.., mko hovyo wacha kujifariji, jikubali yaishe.., bado unaumwa?.., find something else to argue about tokea leo kuendelea.., unajirudia rudia sana na hauna jipya ya kuongezea ama kupunguza, ukweli umebaki pale pale.,
Wacha mchezo kijana..yani, na una ubavu kudai eti mwanza ni kubwa kushinda kisumu 3×times!...!🤔🤔
haya basi, heb ona, ata nakuru inakunja mwanza 1.5×times basi
nb:
mwanza iko ligi moja na kisumu na eldoreti.! hiyo nayo lazma kieleweje☝🏽
with this advent of Google Earth, hakuna kukwepa chochote. kila kitu kinaanikwa mkundu wazi..
see for yourself👇🏽
View attachment 2335516
mchezo gani tena.? heb sema nilicho chemshaWacha mchezo kijana..
Utaweza au ni mbambamba tu.?sasa kila wakati unasema moshi hiki moshi kile.. ila picha zake hatuvioni.!?
please heb viskume tuvione kama pia moshi ni pasafi sana kamavile kisumu ama chigali ama addis
Muulize Don YF anajuamchezo gani tena.? heb sema nilicho chemsha
aisee, simba kapakatwa.. ila nimekudaka mzee..Muulize Don YF anajua
We jamaa wacha kuchanganyikiwaaisee, simba kapakatwa.. ila nimekudaka mzee..
naona dawa imeingia vizuri.. 💉💉💉
kubali tu yaishe
na nini... 🤷♂️🤷♀️ mbona hautaki kuongea...We jamaa wacha kuchanganyikiwa
Bwana wee u anipotezea muda, make google your good friend usinisumbue, Ndio mana mzungu alikuja na google earth..na nini... 🤷♂️🤷♀️ mbona hautaki kuongea...
sawa basi, nimekubali 🙌🏽.. umeshinda. op umefurahi sasaBwana wee u anipotezea muda, make google your good friend usinisumbue, Ndio mana mzungu alikuja na google earth..
This is Nyamhongolo bus terminal in Mwanza 👇. Hizo bus terminals zipo mbili Mwanza (reginal bus terminals) nyingine ni nyegezi 👇. Hizi buss terminals ni kielelezo tosha kwamba Mwanza is bigger three times to kisumu.. google the distance from one bus terminal to Another,mind you all those bus terminals are in the city of Mwanza.. guess ni ukubwa kiasi gani hadi jiji lihitaji buss terminals mbili.?na nini... 🤷♂️🤷♀️ mbona hautaki kuongea...
refer back, usiwe mzembe., hii chapter is over, find something else.Wacha domo domo those pictures are very clear, nimeweka picha na wewe jitee kwa picha..
Mimi nasubiri tren za umeme zije..ndo nitaamini haya maneno yakoKwanza unapayuka mambo usiyo na uhakika nayo,kwamba sgr ya Mwanza ni Kambi tuu si ndio? Umeolewa gongo wewe..
Hakuna miradi mipya unamdanganya nani? Sgr ya Kakutopora to Tabora sio mradi mpya?..
Eti husikii stand Wala masoko,hujaona soko la Kariakoo likijengwa? Hujaona masoko ya machinga yakijengwa Dom na Dar? Soko lingine la machinga linajengwa Iringa,Kigoma, Kigamboni nk kote masoko yanajengwa?..ukiacha hiyo Masoko sio kipaombele kwa sasa na hayana return kubwa kusema yajengwe Kila mahali.
Sikia huyu kima eti treni za Dar zipi? Kama ni zile za Mwakyembe zinafanya Kazi,zile za Arusha zinafanya Kazi tena route na mabehewa mapya yameongezwa..
Tangu lini mpunga uliachwa kununuliwa ukiwa shambani? Kuna shida gani ukinunuliwa shambani? Hawalipi Ushuru? Soko la Mazao ni huria na sheria imeruhusu exports kokote kwenye Soko ndio maana Mchele uliingiza pesa nyingi kuliko zao lolote msimu ulioisha na hii sera haibadiliki,subirieni mpate taahira mwingine ndio mje kubadili..
Sasa mashirika yapi ambayo hayaelezi vitu in details? Kama hufuatilii na uko less informed hiyo ni shida yako,juzi tuu hapo umeona nhc wakisema wanataka kujenga nyumba 5,000 Nchi nzima na taarifa imetolewa..
Mwisho Serikali ya Sasa haina mbwembwe za kijinga kama waliopita kama ni miradi mipya iko mingi Sana na mingi inaanza kwenye bajeti hii sasa wewe ulitaka vipi miradi ianze mwaka aliopokea SSH wakati Uchumi ulianguka na miradi ilikuwa stalled ikiwemo hiyo hiyo aliyoanzisha Mwendazake..
Kama huna taarifa baadhi ya miradi mipya ni Msalato Airport, barabara za mzunguko Dom hazikuwa zimeanza,ujenzi wa meli mpya kwenye maziwa yote ikiwemo kufufua Mv Ilemba,Upanuzi wa njia 4 wa barabra ya TANZAM,miradi ya maji ya Bwawa la farkwa Dom,Kidunda Dar,miradi ya maji miji 28 zaidi Til.1,Upanuzi wa Vyuo vikuu zaidi ya til.1,barabara mpya kwa mfano mkoa niliko kuna Wachina wanajenga barabara mpya 2 bila shaka iko hivyo mikoa yote,miradi ya grid ya Taifa ya umeme Kam TAZA, hospital ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi, hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma na Lindi,bandari ya Uvuvi Kilwa,brt awamu ya 3, hospital mpya 28 na vituo vya afya 252 vimejengwa,miradi ya scheme za Umwagiliaji zaidi ya 27 tayari nk.nk
Kilichobadiloka hapa ni makelele,pambio na chuki binafsi tuu nothing else maana kama ni mapesa mama anayamwaga kweli kweli kuanzia maji hadi kilimo..
Saizi ukiingia porta ya ajira imejaa matangazo ya Kazi ,kungekuwa hakuna pesa Serikali ingeshindwa kuajiri kama alivyoshindwa yule Mwendazake layman wa Uchumi..![]()