Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barrack Obama, Toure drive, Kenyatta Zote hizi zina Quality pavements, Best in Dar baada ya Morogoro road, Kawawa , Kivukoni na Msimbazi. Pia Nyerere road na Bibi Titi, Tena hiyo Bibi titi ndio colored kama zao wanazoweka sasa hivi

View attachment 2334744
Wao wameanza kuweka juzi eti tayari wameshaanza kusema Tz Hakuna 🤣🤣🤣..
 
Usiwe unapost hizi Aibu Bro, Moshi iko na quality and iconic buildings kuliko huu upupu kwa jina la kipoison
1646714238922.jpg
 
It was a very busy day for President Samia today 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220825-212223.png
    Screenshot_20220825-212223.png
    135.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220825-212148.png
    Screenshot_20220825-212148.png
    146.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220825-210809.png
    Screenshot_20220825-210809.png
    135.1 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220825-210759.png
    Screenshot_20220825-210759.png
    160.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220825-212201.png
    Screenshot_20220825-212201.png
    123.4 KB · Views: 8
Ii
Sio kdg ni sana mana 99% ya mambo yote mapya tunayoringia humu muasisi ni Magu usibabaike na maneno ya wavimba macho wanaojifanya hawakubali legacy lkn akipost kitu Muasisi ni yule yule.
Kinachonishangaza ni kwamba wanasema mama anamwaga pesa, sasa kama anamwaga pesa mbona miradi inasuasua?
Sasa hivi husikii stendi wala masoko yakianza kujengwa bado wanahangaika na ile aliyoacha Magu for almost 2yrs now.
Miradi iliyokuwa ianze ya ujenzi wa meli mpya kimyaa.
SGR Isaka Mwanza wanajenga kambi tu kwa muda wa miaka 2 sasa.
Hakuna mradi mpya uliobuniwa mpaka sasa baada ya kifo cha Magu. Jamaa alikuwa anataka barabara za kuingia na kutoka miji yote mikubwa ziwe njia nne kwa 50km, alikuwa aanze na Dom Toka afe kimyaa.
Treni za Dar kimyaa, stendi ya Arusha kimyaa, ya moshi imeachwa ijiozee.
Miaka 2 hakuna hata tetesi za mradi mpya.
Nasubiri miradi ya TACTIC ianze mwezi wa tisa nione kama itasimamiwa ipasavyo.
Kipindi kile Ummy Mwalimu alikuwa busy hasa, sasa hivi yuko karelax sababu mkubwa wake hana vision.
Kipindi cha Magu niligundua watz wana akili sana wakipata kiongozi mzuri, ulikuwa ukisikia viongozi wa mashirika mbalimbali wanaelezea vitu in details mpaka unafurahi,
Sasa hivi wamegeuka kuwa chawa.
Kule kanda ya ziwa waganda wameanza kununua mpunga ukiwa shambani wanaenda kukoboa kwao wameanza kutuuzia mchele tuliolima.

Nb.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake ila yale mazuri tulipaswa kuendelea nayo.
 
Hapa EA hakuna nchi ina pavement ndefu kuliko Tz, kuna ile inayoanzia Airpot terminal one all the way to Posta, jaribu kufanya calculation alafu uniambie ni kilomita ngapi zen waambie wakuletee pavement ndefu kuliko hiyo popote pale Africa ukiondoa SA na Egypt japo nao sina hakika kama wanayo ndefu namna hyo.
Wakenya hawana hiyo Hawana
 
Back
Top Bottom