Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee. Hawa jamaa wako juu vibaya mno. Huyo teargas amepata wapi hicho ki article kinachomwambia Kenya wapo juu Afrika nzima? Hata South Africa nao chali kwao?
nlisha kuambia awa ni wazee wa uongo na utapeli
 

Na apo ipo bus terminal inapiga vichwa yako iyo cjui iko wapi

1650271983888.jpg
 
Hizi timu zetu soon utasikia Nike, Adidas, puma, NB, haoo wameingia.
Tutarajie kampuni nyingine za mafuta kugombania fursa ya kujitangaza kupitia kudhamin clubs zetu.. kama betting firms zinazofanya saiz.. good thing, big clubs tayar betting firms zishatia guu.. hii ni fursa kwa timu nyingine kupata mpunga wa kampuni za mafuta.. in few years to come naiona Namungo na Singida (timu za wakubwa serikaln😅) kupata deals za hayo makampun ya mafuta
 
Back
Top Bottom