Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wao wameanza kuweka juzi eti tayari wameshaanza kusema Tz Hakuna 🤣🤣🤣..
Boss mbona unapenda kujitekenya ukicheka? Sisi na nyinyi Nani ameanza kuweka pavement juzi? Nyinyi ndio mnaanza concrete nasi tuko geopolymer. Hii hapa ni Nairobi ya 1970s. Yani wewe ni clown.🤣🤣

images - 2022-08-26T070417.639.jpeg
images - 2022-08-26T070402.546.jpeg
 
Boss mbona unapenda kujitekenya ukicheka? Sisi na nyinyi Nani ameanza kuweka pavement juzi? Nyinyi ndio mnaanza concrete nasi tuko geopolymer. Hii hapa ni Nairobi ya 1970s. Yani wewe ni clown.

View attachment 2335065View attachment 2335066

In the Second photo I see muzungu scout with short pants freely roaming around with dignity
That town was 100% built by Muzungu, I see the Chinese having mighty chunk out of it lately, unlike Dar , what you see in dar even now is 100% built by and owned by Tanzanians.
 
Halafu Limazeli limoko lipo lipo tu na ushungi wake lina zurura, mara Congo mara wapi🙄😏🙄


We ni fala kweli,Rais ndio anakaa ofisi ya TRA kukadiria Kodi?

Utakuwa unawashwa kidude cha kwenye buttocks zako wewe sio bure,msimu huu hakuna kupora wafanyabiashara Kodi kama nyie kenge na yule fala wenu marehemu mlivyofanya..

Saizi mnalalamika ,awamu hii Kodi mtalipa maumivu haya ni dalili ya kibano..
 
Nimegundua huyo jamaa ni shabiki wa siasa za matango poli ,hajui kuwa CCM mbele kwa mbele ni ile ile tu,
Anajitoa akili
Sijawahi na Wala haitokuja kutokea nikawa shabiki wa ccm,mimi ni shabiki wa Samia as an individual,SSH ni bora mara elfu kuliko yule taahira aliyekufa..

Pili hata upinzani wenyewe hakuna mtu naeweza kumtilia maanani wote hawana akili na hawajielewi,zamani nilikuwa huko nimeacha saizi naangalia nakopata fursa ambako mambo yangu yanaenda full stop.
Nimegundua huyo jamaa ni shabiki wa siasa za matango poli ,hajui kuwa CCM mbele kwa mbele ni ile ile tu,
Anajitoa akili
 
Aloo hii MV kutu ni kadogo wallahi, yani kametoshana hapo kwa hema, alafu kuna chizi mmoja anafananisha na the Giant of lake Victoria, nmeweka picha kwa mara nyingine muone Mv kutu iliyotosha kwenye kahema na the Giant of lake Victoria uone kama lingetosha hapo kwenye hako ka hema View attachment 2335108View attachment 2335109View attachment 2335110
You must be mad. That section has been dug and any kind of ships that can apply lake Victoria can be made there. The roof is adjustable as well. Alafu hata huna aibu kutuwekea picha za vumbi, mchanga na matope🤣🤣😂
 
Ii

Kinachonishangaza ni kwamba wanasema mama anamwaga pesa, sasa kama anamwaga pesa mbona miradi inasuasua?
Sasa hivi husikii stendi wala masoko yakianza kujengwa bado wanahangaika na ile aliyoacha Magu for almost 2yrs now.
Miradi iliyokuwa ianze ya ujenzi wa meli mpya kimyaa.
SGR Isaka Mwanza wanajenga kambi tu kwa muda wa miaka 2 sasa.
Hakuna mradi mpya uliobuniwa mpaka sasa baada ya kifo cha Magu. Jamaa alikuwa anataka barabara za kuingia na kutoka miji yote mikubwa ziwe njia nne kwa 50km, alikuwa aanze na Dom Toka afe kimyaa.
Treni za Dar kimyaa, stendi ya Arusha kimyaa, ya moshi imeachwa ijiozee.
Miaka 2 hakuna hata tetesi za mradi mpya.
Nasubiri miradi ya TACTIC ianze mwezi wa tisa nione kama itasimamiwa ipasavyo.
Kipindi kile Ummy Mwalimu alikuwa busy hasa, sasa hivi yuko karelax sababu mkubwa wake hana vision.
Kipindi cha Magu niligundua watz wana akili sana wakipata kiongozi mzuri, ulikuwa ukisikia viongozi wa mashirika mbalimbali wanaelezea vitu in details mpaka unafurahi,
Sasa hivi wamegeuka kuwa chawa.
Kule kanda ya ziwa waganda wameanza kununua mpunga ukiwa shambani wanaenda kukoboa kwao wameanza kutuuzia mchele tuliolima.

Nb.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake ila yale mazuri tulipaswa kuendelea nayo.
Kwanza unapayuka mambo usiyo na uhakika nayo,kwamba sgr ya Mwanza ni Kambi tuu si ndio? Umeolewa gongo wewe..

Hakuna miradi mipya unamdanganya nani? Sgr ya Kakutopora to Tabora sio mradi mpya?..

Eti husikii stand Wala masoko 😜😜,hujaona soko la Kariakoo likijengwa? Hujaona masoko ya machinga yakijengwa Dom na Dar? Soko lingine la machinga linajengwa Iringa,Kigoma, Kigamboni nk kote masoko yanajengwa?..ukiacha hiyo Masoko sio kipaombele kwa sasa na hayana return kubwa kusema yajengwe Kila mahali.

Sikia huyu kima eti treni za Dar zipi? Kama ni zile za Mwakyembe zinafanya Kazi,zile za Arusha zinafanya Kazi tena route na mabehewa mapya yameongezwa..

Tangu lini mpunga uliachwa kununuliwa ukiwa shambani? Kuna shida gani ukinunuliwa shambani? Hawalipi Ushuru? Soko la Mazao ni huria na sheria imeruhusu exports kokote kwenye Soko ndio maana Mchele uliingiza pesa nyingi kuliko zao lolote msimu ulioisha na hii sera haibadiliki,subirieni mpate taahira mwingine ndio mje kubadili..

Sasa mashirika yapi ambayo hayaelezi vitu in details? Kama hufuatilii na uko less informed hiyo ni shida yako,juzi tuu hapo umeona nhc wakisema wanataka kujenga nyumba 5,000 Nchi nzima na taarifa imetolewa..

Mwisho Serikali ya Sasa haina mbwembwe za kijinga kama waliopita kama ni miradi mipya iko mingi Sana na mingi inaanza kwenye bajeti hii sasa wewe ulitaka vipi miradi ianze mwaka aliopokea SSH wakati Uchumi ulianguka na miradi ilikuwa stalled ikiwemo hiyo hiyo aliyoanzisha Mwendazake..

Kama huna taarifa baadhi ya miradi mipya ni Msalato Airport, barabara za mzunguko Dom hazikuwa zimeanza,ujenzi wa meli mpya kwenye maziwa yote ikiwemo kufufua Mv Ilemba,Upanuzi wa njia 4 wa barabra ya TANZAM,miradi ya maji ya Bwawa la farkwa Dom,Kidunda Dar,miradi ya maji miji 28 zaidi Til.1,Upanuzi wa Vyuo vikuu zaidi ya til.1,barabara mpya kwa mfano mkoa niliko kuna Wachina wanajenga barabara mpya 2 bila shaka iko hivyo mikoa yote,miradi ya grid ya Taifa ya umeme Kam TAZA, hospital ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi, hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma na Lindi,bandari ya Uvuvi Kilwa,brt awamu ya 3, hospital mpya 28 na vituo vya afya 252 vimejengwa,miradi ya scheme za Umwagiliaji zaidi ya 27 tayari nk.nk

Kilichobadiloka hapa ni makelele,pambio na chuki binafsi tuu nothing else maana kama ni mapesa mama anayamwaga kweli kweli kuanzia maji hadi kilimo..

Saizi ukiingia porta ya ajira imejaa matangazo ya Kazi ,kungekuwa hakuna pesa Serikali ingeshindwa kuajiri kama alivyoshindwa yule Mwendazake layman wa Uchumi..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220822-152331.png
    Screenshot_20220822-152331.png
    40.6 KB · Views: 6
Back
Top Bottom