Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee. Hawa jamaa wako juu vibaya mno. Huyo teargas amepata wapi hicho ki article kinachomwambia Kenya wapo juu Afrika nzima? Hata South Africa nao chali kwao?
Usiwe mwepesi wa kukurupuka kama wenzako walivyo.., graph inasema ":excluding South African cities".., yaani wale are not ranked amongst African countries, wako stage ya juu.., sisi sio watu wa propaganda na kulazimisha eti tuonekane tuko juu kama wengi wenu mlivyo.., mko na matatizo ya inferiority complex na blind patriotism..,
1661520246336.png
 
Check out this throwback, chagua la teeniez awards,
Kenya had this showbiz big even back in the day
2008 chaguolateeniez
 
Kenyan showbiz...
the thing that diamond is doing in 2021 of going for a performance in a chopper, Kina prezzo are doing it 20 years earlier 🤣 🤣
 
Nilichokugundua leo pia ni kuwa mdhamini mkuu wa Kagera Sugar ni kampuni ya kimataifa ya mafuta, TotalEnergies. Imenifurahisha sana hii

Tukiweza kuboresha viwanja vingi tulivyonanyo (lake Tanganyika, Ali Hassan Mwinyi, Maji maji, jamhuri, Kirumba) na kujenga vingine vikubwa kama vitatu hivi, tutatisha sana Afrika. Wapenzi wa mpira teyari tunao, imebaki serikali tuu kufanya maaamuzi.
 
na BONGO tuna viwanja vingi mnooo sema ukarabati unahitajika
 
Back
Top Bottom