Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ushamba wewe mbuzi, higher quality unaijua wewe, those ones are the cheapest pavers Bro, dunia nzima side works zinaka hivi 👇 China View attachment 2334689china👇View attachment 2334690View attachment 2334691Tanzania 👇View attachment 2334692View attachment 2334693
I took these pictures myself in mombasa... let me give your your peer, Nairobi you Just can't handle.
IMG_20220414_143408_296.jpg
IMG_20220414_143514_119.jpg
IMG_20220414_144431_089.jpg
IMG_20220414_143945_340.jpg
IMG_20220414_144006_664.jpg
IMG_20220414_140632_914.jpg
IMG_20220414_141820_561.jpg
IMG_20220414_141756_001.jpg
 
I also took these pictures while walking at Nairobi streets and nothing matches this in the whole of Tanzania.
IMG_20220601_132919_847.jpg
IMG_20220601_132626_487.jpg
IMG_20220601_132704_349.jpg
IMG_20220601_132633_274.jpg

IMG_20220601_132538_764.jpg
 
Na ndiyo wamejenga reli ya umeme pekee EA.

Ndiyo wanaolisha Kenya na nchi nyingine maskini mfano wa Kenya.

Ndiyo wanaolinda amani ya EA.

Ndiyo wenye infrastructure bora zaidi EA.

Ndiyo source of remittance kwa nchi zote za EA.

Ndiyo wenye BRT system pekee EA.

Hata ulie huo ndio ukweli mchungu kuusikia
 
Ii

Kinachonishangaza ni kwamba wanasema mama anamwaga pesa, sasa kama anamwaga pesa mbona miradi inasuasua?
Sasa hivi husikii stendi wala masoko yakianza kujengwa bado wanahangaika na ile aliyoacha Magu for almost 2yrs now.
Miradi iliyokuwa ianze ya ujenzi wa meli mpya kimyaa.
SGR Isaka Mwanza wanajenga kambi tu kwa muda wa miaka 2 sasa.
Hakuna mradi mpya uliobuniwa mpaka sasa baada ya kifo cha Magu. Jamaa alikuwa anataka barabara za kuingia na kutoka miji yote mikubwa ziwe njia nne kwa 50km, alikuwa aanze na Dom Toka afe kimyaa.
Treni za Dar kimyaa, stendi ya Arusha kimyaa, ya moshi imeachwa ijiozee.
Miaka 2 hakuna hata tetesi za mradi mpya.
Nasubiri miradi ya TACTIC ianze mwezi wa tisa nione kama itasimamiwa ipasavyo.
Kipindi kile Ummy Mwalimu alikuwa busy hasa, sasa hivi yuko karelax sababu mkubwa wake hana vision.
Kipindi cha Magu niligundua watz wana akili sana wakipata kiongozi mzuri, ulikuwa ukisikia viongozi wa mashirika mbalimbali wanaelezea vitu in details mpaka unafurahi,
Sasa hivi wamegeuka kuwa chawa.
Kule kanda ya ziwa waganda wameanza kununua mpunga ukiwa shambani wanaenda kukoboa kwao wameanza kutuuzia mchele tuliolima.

Nb.
Magufuli alikuwa na mapungufu yake ila yale mazuri tulipaswa kuendelea nayo.
Wamebaki kuongeza matozo lkn wapiii mambo hayaendi mazee.
 
Dhahabu na madini mengine yalikua yanakamatwa yakitoroshwa kwa makilo Kama sio kwa Tani za dhahabu karibia kila mwezi, baada ya kifo cha Magufuli, utoroshaji umekwisha ghafla, watu wote wameanza kutii Sheria za nchi kwa hiari, watu wameanza kuwa watakatifu, hakuna tena utoroshaji wa madini, waziri ni yuleyule ambaye enzi za Magufuli tulimuona akikamata wezi wa madini, hivi Sasa hakamati tena.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama hatopewa heshima yake leo basi ataipata vizazi vijavyo, sisi wacha turudi kwenye default mode ya viongozi waleee.
 
Unakuaje na chuki mpaka unakua mpuuzi mzee.? Nchi yoyote ambayo bidhaa zipo bei rahisi that means uchumi wa hiyo nchi uko vizur, tunajiweza..
Chizi huyo, amechanganyikiwa hajui analosema, nchi Yao uchumi umesambaratika, "costs of living" inasababisha nchi haikaliki kila mkenya anatafuta nchi ya kukimbilia kwenda kuishi

Back
Top Bottom