Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hopefully nimekutoa ujinga ..Jibu swali, are those Tanzanian malls?
Hopefully nimekutoa ujinga ..Jibu swali, are those Tanzanian malls?
We jamaa Kwahyo ndio kusema kule laboratory kunakutoa akili kabisa.? Sasa ukisema gvmt ndio imejenga hizo pesa zinatoka wapi? au hiyo gvt ni ya nani.? 🤣🤣 Nenda ukasome mambo ya kijamii utoe huo uozo kichwani mwakoThere's no mall in Tanzania built by a Tanzanian. I'm not talking about govt.
Heb leta hizo malls za kampala alaf nikufundishe kitu.. hizi article hata mimi naweza andika
This building is iconic
I'm talking about individual like Chris Kirubi who built Two Rivers Mall. Milimani City was built by Botswana people. Palm village by the Chinese.We jamaa Kwahyo ndio kusema kule laboratory kunakutoa akili kabisa.? Sasa ukisema gvmt ndio imejenga hizo pesa zinatoka wapi? au hiyo gvt ni ya nani.? 🤣🤣 Nenda ukasome mambo ya kijamii utoe huo uozo kichwani mwako
Sasa nini mbaya, kama business men wa kenya wameona fursa kwenye malls then Tz's natives business men Wao wameona fursa kwenye hotels na ndio mana akina bakhresa na wengine wengi wanamiliki mahoteli makubwa kuliko hotels zote hapo KenyaI'm talking about individual like Chris Kirubi who built Two Rivers Mall. Milimani City was built by Botswana people. Palm village by the Chinese.
Kwa hili vilaza wa kupingana bila facts watakoma, na wale wakujitoa ufahamu 😂 😂 😂 😂Hii ni kazi safi
Kwa malls Nairobi mko vizur hilo halina ubishi
Which year was that? remind me please? and why are these malls built in Kenya across the country kwa wingi kama hakuna market? only an idiot will reason like u.., alafu hiyo food aid imefanyika miaka mingapi ama mara ngapi? a simple diplomatic gesture from a country is food aid, Kenya sio fukara kama Tanzania, hamuna uwezo wa kusaidia mtu yeyote kwa vile amujiwezi wenyewe.., saidia huyu👇 kijana kwa hiyo clip ya Millard Ayo, ako na maarifa na ujasiri kushinda wengi wenu humu.., kwanza mlio kimbilia kutafuta maisha Dar na imewashinda mnaishi uswazi😂😂😂😂😂😂Question my Kenyan brothers:
As a country, you still receive food aid from across the world. Your people are dirty poor to afford even decent meal a day, who goes to these malls and to do what exactly?
Alafu trade btn Tz and Ke inaenda poa sana Tangu SSH akamate usukani...wakulima sahv wanafaidika sana na hizi zamaZote hizi malls zimejaa mali ya mtanzania
Godownona... kisumu kwa mfano ina masoko mingi, tena kubwa kubwa kushinda ata za mwanza.. masoko kamavile Kibuye Market, Nyamasaria Market, na Uhuru Market, ni baadhi tu ya masoko kadhaa tajika mjini kisumu pekee
hapa, Uhuru Market in Kisumu, kwa mfano.. see for yourself👇🏽View attachment 2333984View attachment 2333985View attachment 2333986View attachment 2333987View attachment 2333988
Kibuye Market in kisumu, now nearing completion👇🏽
View attachment 2333991View attachment 2333979View attachment 2333981View attachment 2333982View attachment 2333983View attachment 2333990View attachment 2333989
Kwanza households products kwa malls ni cheaper than kwa maduka retail mitaani.., Kenyans even slum dwellers go for major shopping kwa malls.., bei ya unga, mafuta, sugar etc in bulk, kwa malls ni cheaper by far.., yaani Kenya sio Tanzania mahali niliona post eti a pastor anasema watu waende awaombee wabarikiwe eti angalau waweze na wao ku shop kwa malls ama supermarkets, yaani ukiona hizi fikra ina maana kwao shopping in a mall ni big deal, ufukara na lack of exposure ni ugonjwa Tanzania 😂 😂 😂 😂 😂 😂The reason why he called you low IQ is because those malls are always full with people yet you are saying that no Kenyan can afford to shop from those malls. Unless those who usually goes there are Tanzanians.
The moment you will decide to be freed from your mindset and realize that the kenyan lower to upper middle class is extremely high and growing daily is the moment you will stop asking such questions... Just try asking yourself how come they keep building new mega malls worth billions of shillings if they dont have ROIQuestion my Kenyan brothers:
As a country, you still receive food aid from across the world. Your people are dirty poor to afford even decent meal a day, who goes to these malls and to do what exactly?
Soko limekaa kama industrial Park 🤣🤣🤣Godown
Me nikajua magodown ya bidhaa zinazotoka Tanzania 🤣🤣Soko limekaa kama industrial Park 🤣🤣🤣
Acacia Mall Kampala.Heb leta hizo malls za kampala alaf nikufundishe kitu.. hizi article hata mimi naweza andika
Yaani you guys have been so brainwashed to think all Kenyans are poor, and no wonder you are shocked at how there's a ton of malls and more are constructed everyday 🤣🤣 pigwa shock endelea kuamini 99% of kenyans are poor😂Zinawasaidia nn wakati 99% ya Wakunya hamuwezi ku afford, tofauti kati ya Tanzania na Kenya ni kubwa sana, cc tunafanya miradi itakayompunguzia common mwananchi ukali wa maisha nyinyi wapumbavu mnafanya mamiradi ya kujionesha yanayoongeza ukali wa maisha kiasi cha kwamba njaa imekuwa wimbo wa taifa. Nyie mnajenga malls sisi tunajenga markets that's a big difference.
Utahangaika bure manzee, ukiona nakuhoji au nakukosoa chochote jua ya kwamba nimeshafanya research kuhusu hicho kitu na najua ninachokisema, sishtushwi na article Bro, mimi ni yule mwamba wa seeing is believing. 🤣🤣.. Malls za Uganda haziwezani kabisa na Tz