joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwani standards za Dunia zinasema mwisho rais anapaswa kupata asilimia ngapi ya kura?Umechange gear hewani
Ya Magu kupata 84% ya kura na 90% ya wabunge hutaki tena![]()

.Nikumbushe kidogo, Nelson Mandela ambaye ni nembo ya demokrasia duniani 1994 alishinda kwa asilimia ngapi?


.Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



