Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Jibu liko hapa 👇Sasa mbona mumekatisha kurusha" live" matokeo ya kura za urais?, Mnakumbuka ilivyokua katika uchaguzi wa 2007 hadi kukatokea machafuka ya kuchinjana?, Kosa lile lile ndio mnalirudia tena
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Soma mwanzo hadi mwisho uelewe ni kwa niniKondoo ni wewe unayebisha kitu kilicho wazi kabisa







