Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,885
- 103,748
Hii sio hospital ya Kaunti bali ni hospital ya Mji wa Tunduma![]()
Our politics has come of age. Coalitions are normal things in matured democracies. Vyama huunda coalitions pre-elections or post-elections. Kama unashangaa angalia jinsi Angela Markel alivyounda serikali yake Ujerumani. Nyinyi politics yenu bado iko nyuma sana so huwezielewa kituKenya hakuna opposition vyama vyote dhaifu bila coalitions hamna siasa na structure ya coalition inatofautiana kila uchaguzi due to changing allegiances.
Amekodishiwa ofisi ama hilo jengo ndio ofisi yake rasmi ya serikali?Kazi anafanyia hapa akiwa Dar View attachment 2322484
Kwa hivyo unajaribu kuniambia kwamba sijui kusoma? Kwamba siwezi ona lile gofu limeandikwa "Ofisi ya makamu wa Rais"?We kilaza hii ndio ofisi ya makamu wa Raisi Dar es salaam. Hili jengo halina picha nyingi maana pale ni next to state house kupiga picha hairuhusiwi.
Angalia makabidhiano ya ofisi pia
View attachment 2322478![]()
MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU AKABIDHIWA RASMI OFISI, AKARIBISHWA RASMI NA WAFANYAKAZI WA OFISI YAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea nyaraka za Ofisi kutoka kwa Makamu wa Rais Mstaaf...www.mtaakwamtaa.co.tz
Stop looking for excuses bongolala. Unachosema is neither here nor there. Kwa hivyo ile gofu ni shule?Hata shule zetu zote na baadhi ya hospitali zimeandikwa ofisi ya raisi tamisemi kwahiyo hizo shule ndio ofisi anamokaa waziri wa tamisemi au raisi? Sometimes utumie akili kidogo.
Stop looking for excuses bongolala. Unachosema is neither here nor there. Kwa hivyo ile gofu ni shule?
Bongolala, media houses were tallying forms 34A as they appear on the portal na ndio walikuwa wakionyesha matokeo zake kwenye runinga. By the time they stopped showing results, 99% of all forms 34A were already uploaded on the portal and tallied.Matokeo ya urais ndiyo yenye kuzusha fujo na mapigano, Dunia inafuatilia matokeo ya urais, we are not interested with your local seats
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kondoo ni wewe unayebisha kitu kilicho wazi kabisaHakuna cha excuses wala mchuzi unacho ambiwa ndo ukweli ila kwa sababu ubishi wa kishamba ni jadi yako inabidi uwe hivo kondoo.
Kondoo ni wewe unayebisha kitu kilicho wazi kabisa


