Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Inawauma sana kuona the level of transparency in this election which is still a pipe dream in your country.Kenya ndio nchi ya ovyo kabisa kwenye mambo ya uchaguzi ikiwa sensa tu pekee kulikua na majanga kibao sembuse uchaguzi 😂😂😂 tangu lini mwizi akachaguliwa na kuchagua
Mlitarajia kuona masanduku ya kura yakipotea, polisi na jeshi kutumiwa kuterorize opposition areas na mambo kama hayo jinsi inavyofanyika huko kwenu. Ole wenu!

