joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Who starts toxicity?Toxic relationship hatusaidiani ni kutakiana mabaya tu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Who starts toxicity?Toxic relationship hatusaidiani ni kutakiana mabaya tu
Jaluo hawezi kubali kuibiwa mwaka huu 😅Kuna mkenya nmemuuliza leo kanipa za chini chini kwamba mzee anachukua nchi.
Unakuaga punguani siku zote, unakwama wapi ikija uelewa wa mambo? Uwezo wa kuchunguza hauna? Kanye ulale bro.😂😂😂😂😂😂😂Media za kenya zimeacha kutangaza matikeo ya urais vp kulikoni 😂😂😂 alaf ndio munasema muna uchaguzi bora mavi ya bata 😃😃😃😃
Wengine whatsapp status wanapost hvi 😂😂😂
Hakuna mwaka uchaguzi ulikua wa ovyo kama huu na sijui ni namna gani mutakavopasuana
View attachment 2322187
Wacha kukataa ukweli, uchaguzi huu umekuwa wa hovyo sanaUnakuaga punguani siku zote, unakwama wapi ikija uelewa wa mambo? Uwezo wa kuchunguza hauna? Kanye ulale bro.![]()
wacha kujiaibisha nawe! Ule uliopita wa Sukumagang ulikuwaje vile?Media za kenya zimeacha kutangaza matikeo ya urais vp kulikoni 😂😂😂 alaf ndio munasema muna uchaguzi bora mavi ya bata 😃😃😃😃
Wengine whatsapp status wanapost hvi 😂😂😂
Hakuna mwaka uchaguzi ulikua wa ovyo kama huu na sijui ni namna gani mutakavopasuana
View attachment 2322187
Takreem... I was searching for that name. Takreem na Tawfiq zilikuwa ni kama mandugu. Ukiona Tawfiq imepita ujue Takreem ipo njiani inakuja muda sio mrefu. Haya mabasi zote yalinipotelea nyakati hizo. Takreem ni kama ilikufa ikazikwa katika kaburi la sahauZilikuwa ni za watz comred, tawfiq walibadili jina ni falcon sasa. Sijui. Na bus la takreem iliishia wapi!.
Heheh nimecheka sana unajua nikiangalia zile comment zako za nyuma na sasa hvi hua nacheka tu 😂😂😂😂wacha kujiaibisha nawe! Ule uliopita wa Sukumagang ulikuwaje vile?
Yani kwa huyo kilaza huu uchaguzi imekuwa wa hovyo all of a sudden kisa TV stations zimewacha kutoa kura walizopata wagombea wa urais😂 Vipi kuhusu matokeo ya ugavana, wabunge, maseneta na wawakilishi wanawake ambazo zinaonyeshwa live na idadi ya kura walizopata washindi?wacha kujiaibisha nawe! Ule uliopita wa Sukumagang ulikuwaje vile?
Imekuwa wa hovyo kwa lipi? Hebu taja kitu kimoja kinachokiweka iwe wa hovyo?Wacha kukataa ukweli, uchaguzi huu umekuwa wa hivyo sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyo anaongea hivyo na kusahau kwamba matangazo ya uchaguzi live kwenye vyombo vya habari huko kwao ni ndoto ambayo haitawahi timikaUnakuaga punguani siku zote, unakwama wapi ikija uelewa wa mambo? Uwezo wa kuchunguza hauna? Kanye ulale bro.😂😂😂😂😂😂😂
Wanawake wamechukua uongozi wa Nakuru county. So encouraging. Our politics is becoming of age
Safi Sana hii,huko Nakuru inaonyesha watu wamestaarabika..
Eenhh sasa mutanipiga manake sio kwa vitiaho hvi 😂😂😂 naombeni ulinzi wadauUnakuaga punguani siku zote, unakwama wapi ikija uelewa wa mambo? Uwezo wa kuchunguza hauna? Kanye ulale bro.😂😂😂😂😂😂😂