tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hujaongelea suala la kodi na mm nmekuchokoza makusudi, Forbes wanaangalia kila kitu,huwez wadanganya ww ni tajiri hivi hivi, Mo analipa kodi 3+trillions kwa mwaka Sasa unalipaje kodi kubwa alafu usiwe mopao...Jamaa sio tajiri wa mchongo kama mnavyodhaniWapi nmeongelea suala la kodi?
