Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
joto la jiwe Nimesema hapa mara nyingi kwamba ikiwa mtu fulani atashika usukani basi uchumi wa Kenya utakuwa mashakani. Ni maoni yangu tu. Battle hii haitakuwa na ladha tena kwangu. Itabidi niitazame hii battle kwa mbali bila michango mingi.Matukio gani hayo yakitokea yatasababisha uadimike hapa JF?, Usifanye hivyo Tony254, hii forum bila wewe itapooza sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The best 007 natumai umenielewa sasa nilikuwa nazungumzia kitu gani.
Cc Geza Ulole.




