Unafikiri hii Tanzania yenu hatuijui?Ofis ya makamu wa rais ziko nyingi na tena maeneo tofaut tofaut hii hapa moja wapo 😂😂😂👇👇👇👇👇View attachment 2322298
Kaunti mzima ni wanamama tu! Hili eneo si rafiki kwa wale wenye unyanyasaji wa kijinsia, hapa unanyong'wa mchana kweupee! Mbele ya umma
Kwa bahati nzuri kila ulichowekewa umepatiwa na maelezo,kilichobakia ni kujichangamsha tuUnafikiri hii Tanzania yenu hatuijui?
View attachment 2322324
Na haya ni makazi ya makamu wa rais dodoma 😃😃👇👇
Kujichangamsha kivipi wakati jengo lenyewe limeandikwa hivyo?Kwa bahati nzuri kila ulichowekewa umepatiwa na maelezo,kilichobakia ni kujichangamsha tu
Yule dikteta atamanike Kenya? Kenya ya wapi? Huo ujinga uliisha kipindi cha Moi na wala hatutaman kurudi hukoUhehehe magu bado anawasumbua vichwa vyenu tu 😂😂 kisa aliitwa best president in africa
Mlikua munamlilia aje kenya kuitengeza kenya leo mumesahau 😃😃😃
Kwa hivyo sasa hivi anafanya kazi chini ya miti?Under construction in Dodoma City
We taahira Magu ni habari ya dunia, anajulikana kuliko kunyalandYule dikteta atamanike Kenya? Kenya ya wapi? Huo ujinga uliisha kipindi cha Moi na wala hatutaman kurudi huko
Unajua maana ya hilo neno 'new world order' ama wewe ni kuongea tu?Nimeamini new world order inafanya kazi 😂😂😂😂😂
We taahira Magu ni habari ya dunia, anajulikana kuliko kunyaland
Each second someone must mention Him around the world
Ipo Ikulu ya Mda Dodoma na pia kila Mkoa kuna Ikulu but main Ikulu is under construction 👇Kwa hivyo sasa hivi anafanya kazi chini ya miti?
Hujajibu swali. Tanzania imekuwa na makamu wa Rais since 1964. Huo muda wote makamu wenu wa Rais wawamekuwa wakifanya kazi wapi wakingoja hiyo ofisi ya Dodoma ikamilike?Ipo Ikulu ya Mda Dodoma na pia kila Mkoa kuna Ikulu but main Ikulu is under construction 👇
Tanzania inakuwanga na uchaguzi ama sarakasi na vioja?Sio inatuuma tunacheka kuona vile utoto na ujinga ulivowajaa 😂😂😂 yani ndio maana miaka yote munaburuzwa na makabila mawili tu toka mumepata uhuru
Hvi kuna uchaguzi unakua wa amani kama wa tanzania kwa africa hii?? Hebu jibu hili swali kwanza 😃😃😃
Anasema uhuru aache kufake data za barabara badala yake awe the man of action kama Magufuli alivyo fanya huku southern HighlandsHebu basi tuambie huyo amemzungumzia kivipi. Anasemaje kwenye hiyo tweet? 😃😃
Anasema uhuru aache kufake data za barabara badala yake awe the man of action kama Magufuli alivyo fanya huku southern Highlands