Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uzuri chuki yako ya Kenya hakibadilishi chochote. Utabaki kuishi maisha ya uchochole hapo Tanga au kokote unapoishi.
Kwani ninyi chuki yenu kwa Tanzania inawatoa kwenye slums, njaa, rushwa na ukabila?, Mbona kila kukicha njaa na slums ndio vinaongezeka?.

Tony254, ninyi wakenya kamwe hamtokaa muelewane na majirani wenu, mumechagua kuwa jirani wa hovyo, tuendelee kuishi hivyohivyo hadi mtakapo jirekebisha, sisi typo tayari kuishi vile mtakavyo. Tunaishi kwa amani na upendo na majirani wote, ila Kenya mumechagua tuishi tofauti na wengine, tupo tayari kwa hilo, punguza kulialia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Me kwa maono yangu heri Tanzania ijiondoe kwa jumuia ya Africa mashariki Waka ungane na ya kusini.... Tunasumbuana sana huku.... Hata hivo ukiangalia kwenye ramani Tanzania Iko south si east
Hii jumuia ya Africa mashariki ilianzishwa na Nyerere, SADC pia ni mawazo ya Nyerere, Kama sio Nyerere kukataa na kupendekeza makao makuu ya SADC kuhamishiwa Gaborone toka Dar es Salaam ambako ndiko yalikoanzia, hadi Leo yangekuwa yamebaki Tanzania.

Sisi Tanzania tunapenda na tunashirikiana zaidi na SADC kuliko tunavyoshirikiana na EAC. Ninakumbuka ninyi mlianzisha CoW Kama mwanzo wa kuitenga Tanzania, vipi mumefikia wapi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii jumuia ya Africa mashariki ilianzishwa na Nyerere, SADC pia ni mawazo ya Nyerere, Kama sio Nyerere kukataa na kupendekeza makao makuu ya SADC kuhamishiwa Gaborone toka Dar es Salaam ambako ndiko yalikoanzia, hadi Leo yangekuwa yamebaki Tanzania.

Sisi Tanzania tunapenda na tinashirikiana zaidi na SADC kuliko tunavyoshirikiana na EAC. Ninakumbuka ninyi mlianzisha CoW Kama mwanzo wa kuitenga Tanzania, vipi mumefikia wapi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Waache wabaki na ujinga wao,hawawezi kuelewa nondo za nyerere hakuna walijualo

Tuendelee kuwaenjoy
 
Me kwa maono yangu heri Tanzania ijiondoe kwa jumuia ya Africa mashariki Waka ungane na ya kusini.... Tunasumbuana sana huku.... Hata hivo ukiangalia kwenye ramani Tanzania Iko south si east
kukimbia matatizo siyo suluhu ya kudumu, tunatakiwa tutafute namna sahihi ya kukabidhiana na wakunya
 
Hii jumuia ya Africa mashariki ilianzishwa na Nyerere, SADC pia ni mawazo ya Nyerere, Kama sio Nyerere kukataa na kupendekeza makao makuu ya SADC kuhamishiwa Gaborone toka Dar es Salaam ambako ndiko yalikoanzia, hadi Leo yangekuwa yamebaki Tanzania.

Sisi Tanzania tunapenda na tinashirikiana zaidi na SADC kuliko tunavyoshirikiana na EAC. Ninakumbuka ninyi mlianzisha CoW Kama mwanzo wa kuitenga Tanzania, vipi mumefikia wapi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bora hivo muende sadc sisi tubaki tupambane, sisi kuwa na Tanzania muungani mmoja is proving to be toxic
 
Wewe ni mtu mzuri lakini tatizo lako ni kuwa unaamini kauli za kila mtu humu ndani hata za uongo. Huyo Fundi kitasa anadanganya wazi wazi na wewe unamuamini haraka sana. Jifunze kuhoji vitu kwa undani kabla ya kuamini. Yaani inaitwa "critical thinking". Sio kwamba kila kitu kinachowekwa humu ndani ni cha kweli.
Ahsante kwa ushauri.
 
Bora hivo muende sadc sisi tubaki tupambane, sisi kuwa na Tanzania muungani mmoja is proving to be toxic
Bila Tanzania, hakuna EAC, sisi ndio tuliotoa wazo la kuanzishwa kwa EAC na kila kitu kipo Arusha, au unapendekeza Arusha iwe ni sehemu ya Kenya?.

Nimekuuliza, tulipojaribu kutoshiriki Mambo ya EAC, ninyi mliamua kuanzishwa "Coalition of the willing" ili kuitenga Tanzania, mlifanikiwa?.

Centrol corridor vs Northern Corridor, hizo ndio zitakueleza Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani inayokubalika zaidi na nchi za EAC. Suala la hivi karibuni ambapo tena Tanzania ilichaguliwa kuwa nchi itakayojengwa Bank kuu ya EAC na kuzishinda nchi zote, pia ni dalili kwamba bila Tanzania hakuna EAC.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
They have money and can afford to enjoy. It has nothing to do with you but them. Wakitoka hapo wataenda Dubai, wakitoka Dubai waende South Africa, wakitoka South Africa waende Rwanda nk.
Why don't you think about South Sudan, Ethiopia, Uganda or DRC, you are thinking about Dubai, South Afrika after Tanzania?, I think you understand
what I want to say.

Kenya wasichana wadogo Kama hao hawawezi kutembea wenyewe bila "escort", there is no peace there, nchi imejaa wakora kila pembe, nani anataka kutembelea Kenya?, Labda wale wanaotoka mbali wasioijua vizuri Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Taken 8 years ago.

IMG_0786.jpg
 
Back
Top Bottom