Bila Tanzania, hakuna EAC, sisi ndio tuliotoa wazo la kuanzishwa kwa EAC na kila kitu kipo Arusha, au unapendekeza Arusha iwe ni sehemu ya Kenya?.
Nimekuuliza, tulipojaribu kutoshiriki Mambo ya EAC, ninyi mliamua kuanzishwa "Coalition of the willing" ili kuitenga Tanzania, mlifanikiwa?[emoji23].
Centrol corridor vs Northern Corridor, hizo ndio zitakueleza Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani inayokubalika zaidi na nchi za EAC. Suala la hivi karibuni ambapo tena Tanzania ilichaguliwa kuwa nchi itakayojengwa Bank kuu ya EAC na kizishinda nchi zote, pia ni dalili kwamba bila Tanzania hakuna EAC.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app