Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Africa Superpower Politics. The whole world is watching on kenya!
Screenshot_20220811-020654_Google.jpg
 
ichoboy01 11 jets za Russia zimekuwa destroyed in one missile strike in Crimea. Niliwaambia muondoke Ukraine na hamusikii. Ona sasa mumepoteza su-30 jets sita na su-24 jets tano kwa mpigo.
 
Hahahaha, wacha kuchekesha watu, Tanzania ndio inaongoza ukanda huu katika kupokea FDI, nenda kwenye kilimo, viwanda, usafirishaji, madini na utalii utaona jinsi private sector onavyofanya kazi, ila katika huduma za kijamii Kama housing, water, Electricity, railway and food security, lazima serikali iwe mstari wa mbele, hii ndiyo sababu "coast of living is lower in Tanzania, and we don't have slums, We are not a failed state

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hampokei FDI wala private sector investment ya kutosha kwenye real estate hususan kwenye skyscrapers. Ni picha mbaya sana kwamba skyscrapers zenu zote zimejengwa na serikali.
 
nyumba za ushago na umerudia mara mia moja. ..........nchi ya ldc inaweza ambia nini Kenya kwa houses surely. hii wall punguani wamejaa kweli.......
Post vile vile kibera slums. Time hii labda itakuwa mkate mzima. Lakini Baba akipigwa hakuna mkate wala wilbaro ya kujisaidia
 
Kwa malazy wanaodhani natania. Tazama skyscrapers zilizojengwa na private sector hapa Kenya zenye ghorofa zaidi ya 30.

1. Britam towers (32 floors). Ilijengwa na private insurance company.
images (7).jpeg

2. UAP towers. (33 floors). Hii pia ilijengwa na private insurance company.
images (6).jpeg

3. Prism towers (34 floors). Hii ilijengwa na private company.
images (3).jpeg

4. 88 Nairobi. (44 floors). Ujenzi bado unaendelea ila ipo karibu kumalizika. Hii inajengwa na private investor.
download (8).jpeg

By the way, Kenya bado ina skyscrapers nyingi ambazo zimejengwa na serikali ya Kenya. Ila pia tuna private sector strong, nyie hamna private sector strong kama yetu ndio maana skyscrapers zenu zote zimejengwa na serikali. Halafu sijaweka skyscrapers mbili za GTC ambazo zina zaidi ya 30 floors kwa sababu mnalia kwamba GTC sio private sector investment.
Cc NDINDA Geza Ulole chongchung joto la jiwe The best 007
 
Arusha is rapidly claim it's regional conferencing tourism significance from Kigali

View attachment 2320572View attachment 2320573View attachment 2320574
Kaka..hapo tunatakiwa tujenge MKICC Mount Kilimanjaro International Conference centre hio ndo itakuwa funga mwaka

The project ilitakiwa kuanza kujengwa 2015 ..ikakatishwa ilikuwa iwe one of the biggest conference centres in africa at a cost of 250 mil usd...currently kuipiku kigali conf centre we need to invest around 350mil usd ..

for conference centre , auditorium and a 5 star hotel
 
AICC can do that alone without extra assistance from away, apparently they own several conference facilities, real-estate commercial and residential, hospital and other valuable fixed assets especially on mouthwatering areas of Arusha, what's the role of our commercial banks on that? they should provide financial support to AICC to accomplish that booming opportunity!

Arusha is strategically located at the Africa's safari heartbeats only in Arusha you may access bigger 5 parks in the radius area of several kilometers with full equipped amenities, potential infrastructure, great weather and already built sense of diplomacy actually 50% of embassies in Dar have their consulates in Arusha.
 
Hampokei FDI wala private sector investment ya kutosha kwenye real estate hususan kwenye skyscrapers. Ni picha mbaya sana kwamba skyscrapers zenu zote zimejengwa na serikali.
Hata Magufuli alikataza NSSF na Mashirika mengine ya umma kuendelea kujenga skyscrapers badala yake kwenda kuwekeza katika viwanda na kilimo ili kutengeneza ajira, hatupendi FDI kwenda kujenga skyscrapers badala yake FDI tunazielekeza katika maeneo ya uzalishaji ili kuongeza Ajira na uzalishaji wa bidhaa ili kukuza "exports zetu". Endeleeni kusherehekea skyscrapers wakati sector yetu ya kilimo na viwanda inapaa kuwazidi, ndani ya nusu mwaka huu, exports za Tanzania zimezidi $11B

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
and remember this is railas's very last chance... his very last bullet, that is..
asipo toboa tena hii, sijui itakuaje tena kwa wafuasi wake.. it will be too bad..
wamekua wamestahimili msongo wa mawazo since 1997, 2007, 2013, 2017 na sasa 2022 🤔🤔
Screenshot_20220811-074750_YouTube.jpg
 
100% ya skyscrapers zote above 20 floors (majengo yenye zaidi ya ghorofa 20) hapo Dar es Salaam yamejengwa na serikali ya Tanzania. Mmeshindwa kuvutia muwekezaji hata mmoja wa kujenga skyscraper hata moja hapo Tanzania halafu bado mnataka kushindana na sisi?
Huu ni uongo mzee tony 100%.??
 
AICC can do that alone without extra assistance from away, apparently they own several conference facilities, real-estate commercial and residential, hospital and other valuable fixed assets especially on mouthwatering areas of Arusha, what's the role of our commercial banks on that? they should provide financial support to AICC to accomplish that booming opportunity!

Arusha is strategically located at the Africa's safari heartbeats only in Arusha you may access bigger 5 parks in the radius area of several kilometers with full equipped amenities, potential infrastructure, great weather and already built sense of diplomacy actually 50% of embassies in Dar have their consulates in Arusha.
Mwendazake alikataza mradi wowote wa hotel na conference center nje ya Chato! Nakumbuka huu mradi wa MKICC hata mkandarasi alishapewa kazi kuanza ujenzi.
 
Back
Top Bottom