kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,812
- 3,168
Yah,It will be a high-end restaurantSeems like wameweka ndege pale uhuru parkView attachment 2319997
Yah,It will be a high-end restaurantSeems like wameweka ndege pale uhuru parkView attachment 2319997
Ila hii sio source ya IEBC ni media source sijui kama niko sahihiKuwa mwangalifu usife kwa pressure
Just a moment agoKenya Elections
elections.nation.africa
View attachment 2320368
Na hii vp 😂😂😂Odinga yupi huyo mkuu?
Ulipoangalia angalia na idadi ya kura zilizohesabiwa afu linganisha na hii. Ruto lazima abebe 😃
View attachment 2320227
Wew bila shaka umeangalia hapa
View attachment 2320235
Anywah, wacha tuone kura zote zikihesabiwa nan kabeba nyingi. Ila mwana, Ruto lazima ashinde hapa
Hawaamini macho yao 😂😂
Kenya watafika huku wakiwa wamechoka sana 😂😂😂
Munatunyuka wapi ikiwa ligi yenu tu yenyewe imewashinda 😂😂😂😂Malazy huwa mnapenda football sana tatizo nyie ni wabovu kabisa kwenye mchezo huo. Kenya huwa tunawanyuka ile mbaya tunapokutana.
Kenya watafika huku wakiwa wamechoka sana 😂😂😂
Wanafanya maendeleo, hawa jamaa hawana muda wa kupoteza na mambo ya kijingaChina wako mbali wazee


