Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo una mdomo mrefu kama chiriku. Papara papara mingi. Soma hapa kisha uombe msamaha kwa kujifanya mjuaji kwa mambo usiyoyajua. Nikikuambia kwamba nchi ya nje ambayo Wakenya wengi zaidi wanaishi ni USA unastahili kusikia sio kupinga hovyo. Soma hapa

View attachment 2320265
Lete data ya 2022 sio hii ya 2020

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
IMG_0761.jpg
 
Hakuna serikali yoyote duniani yenye uwezo wa kukidhi mahitaji ya makaazi ya wananchi bila kutegemea private sector. Hata serikali tajiri namna gani haina uwezo huo. Lazima GoT ikubali kugawanya majukumu ya kujenga skyscrapers na majengo mengine na private sector. Huu upuuzi wa GoT kujenga skyscrapers zote ndani ya TZ ni ishara tosha kwamba investors wa real estate wamegoma kuinvest hapo TZ. Kenya skyscrapers zinajengwa na both GoK na private sector. Skyscrapers za CBD zinajengwa na serikali na skyscrapers za Upperhill na Westlands zinajengwa na private sector.
Hahahaha, wacha kuchekesha watu, Tanzania ndio inaongoza ukanda huu katika kupokea FDI, nenda kwenye kilimo, viwanda, usafirishaji, madini na utalii utaona jinsi private sector onavyofanya kazi, ila katika huduma za kijamii Kama housing, water, Electricity, railway and food security, lazima serikali iwe mstari wa mbele, hii ndiyo sababu "cost of living is lower in Tanzania, and we don't have slums, We are not a failed state

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wanafanya maendeleo, hawa jamaa hawana muda wa kupoteza na mambo ya kijinga
Na sisi tunasema ni marafiki na ndg zetu lakini mbona gap ni kubwa sana? Au hatuwatumii ipasavyo?

Miradi yao kwao inaisha haraka ila wakija kwetu tunasukamana tu mpaka kutishia kuvunja mkataba.

Hili nalo tulitazame.
 
100% ya skyscrapers zote above 20 floors (majengo yenye zaidi ya ghorofa 20) hapo Dar es Salaam yamejengwa na serikali ya Tanzania. Mmeshindwa kuvutia muwekezaji hata mmoja wa kujenga skyscraper hata moja hapo Tanzania halafu bado mnataka kushindana na sisi?
Nilifikiri unaniambia hayapo, kumbe yapo ila tatizo yamejengwa na serikali
 
Back
Top Bottom