Before ilikua pazuri watu wangepata easy access to the beach after inakaa walisacrifice social amenity for the road Ika sijui though ipi muhimu zaidi kwenyu. After ni rembo na Ina a nice infrustructure but before ilikua Inaserve alot of people
Unapenda uongo. Eti ndani ya miezi 6, exports za Tanzania zimefika $11 billion? Hebu leta ushahidi haraka.Hata Magufuli alikataza NSSF na Mashirika mengine ya umma kuendelea kujenga skyscrapers badala yake kwenda kuwekeza katika viwanda na kilimo ili kutengeneza ajira, hatupendi FDI kwenda kujenga skyscrapers badala yake FDI tunazielekeza katika maeneo ya uzalishaji ili kuongeza Ajira na uzalishaji wa bidhaa ili kukuza "exports zetu". Endeleeni kusherehekea skyscrapers wakati sector yetu ya kilimo na viwanda inapaa kuwazidi, ndani ya nusu mwaka huu, exports za Tanzania zimezidi $11B
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama ni uongo basi leta ushahidi. Leta skyscraper hata moja hapo Dar es salaam yenye ghorofa zaidi ya 20 ambayo haijajengwa na serikali ya Tanzania au shirika la kiserikali.Huu ni uongo mzee tony 100%.??
Wakenya wanapenda vitu cosmetic lakini ukiangalia ndani ni uozo mtupu.Hata Magufuli alikataza NSSF na Mashirika mengine ya umma kuendelea kujenga skyscrapers badala yake kwenda kuwekeza katika viwanda na kilimo ili kutengeneza ajira, hatupendi FDI kwenda kujenga skyscrapers badala yake FDI tunazielekeza katika maeneo ya uzalishaji ili kuongeza Ajira na uzalishaji wa bidhaa ili kukuza "exports zetu". Endeleeni kusherehekea skyscrapers wakati sector yetu ya kilimo na viwanda inapaa kuwazidi, ndani ya nusu mwaka huu, exports za Tanzania zimezidi $11B
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mwalimu Nyeree twin tower 32FLKama ni uongo basi leta ushahidi. Leta skyscraper hata moja hapo Dar es salaam yenye ghorofa zaidi ya 20 ambayo haijajengwa na serikali ya Tanzania au shirika la kiserikali.
Wakenya mnaanza ujinga wenu, sivyo?
Tony254
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Uongo mtupuHuu ni uongo mzee tony 100%.??
Kama ni uongo basi leta ushahidi. Leta skyscraper hata moja hapo Dar es salaam yenye ghorofa zaidi ya 20 ambayo haijajengwa na serikali ya Tanzania au shirika la kiserikali.
Mkishindwa huwa mnabadilisha goal posts.Hata Magufuli alikataza NSSF na Mashirika mengine ya umma kuendelea kujenga skyscrapers badala yake kwenda kuwekeza katika viwanda na kilimo ili kutengeneza ajira, hatupendi FDI kwenda kujenga skyscrapers badala yake FDI tunazielekeza katika maeneo ya uzalishaji ili kuongeza Ajira na uzalishaji wa bidhaa ili kukuza "exports zetu". Endeleeni kusherehekea skyscrapers wakati sector yetu ya kilimo na viwanda inapaa kuwazidi, ndani ya nusu mwaka huu, exports za Tanzania zimezidi $11B
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sina uhakika MKICC ulifika stage hiyo japo niliona tu render, mbona hata Aga khan University nayo doro na eneo walishapewa kabisa almost a decade now!Mwendazake alikataza mradi wowote wa hotel na conference center nje ya Chato! Nakumbuka huu mradi wa MKICC hata mkandarasi alishapewa kazi kuanza ujenzi.
Sina uhakika MKICC ulifika stage hiyo japo niliona tu render, mbona hata Aga khan University nayo doro na eneo walishapewa kabisa almost a decade now!
Una kingine cha kubisha? Unafananishaje Aga Khan taasisi binafsi na AICC taasisi iliyo chini ya MoFA? kiufupi Mwendazake alikuwa mtu wa ajabu sana, kusimamisha huu mradi umeiondoa Arusha kwenye radar ya conference tourism!
kama nilivyokuambia Magufuli alisimamisha huu mradi akaenda kulazimisha a 4 star hotel Chato!Walisaini MoU for the designing and construction sio construction, memorandum of understanding is so preliminary leg to implementation of any project, especially MoU for paperwork (designing) na hakuna popote wamesema wamefikia wapi so far!
Hong Kong shipbuilder set to deliver tugboats for EACOP Project in Tanga
by Editor
10/08/2022
in Energy
![]()
Cheoy Lee Shipyards has completed harbour and escort tugs for several international clients over the past three months including Tanzania.
The Hong Kong-headquartered shipbuilder delivered tugs to owners in Africa, New Zealand and the Pacific, while passing a key production milestone on tugs for a domestic owner.
![]()
A view of Tanga Port. The two tugboats are sailed by Redwise from China to Dar es Salaam, Tanzania enroute to Tanga where they will assist ships at an oil export port. Photo/ courtesy
Its latest completions are two 492-gt tugs destined to assist tankers in an export terminal in east Africa. Cheoy Lee’s Hin Lee shipyard in Zhuhai, China built Chongoleani and Tanga Mpya to Robert Allan Ltd (RAL) RAmparts 3200-CL.
Both 32-m tugboats, part of a four-vessel construction order Cheoy Lee is implementing for the Tanzanian Port Authority (TPA), are being sailed by Redwise from China to Dar es Salaam, Tanzania enroute to Tanga where they will assist ships at an oil export port.
According to automatic identification system (AIS) data, both tugs, each with a beam of 12 m, had a stopover at Vung Tau, Vietnam 30 June for fuel and supplies before their voyage across the Indian Ocean.
In the port of Chongoleani, a new tanker terminal has been constructed as the terminus of the East African Crude Oil Pipeline. This 1,445-km pipeline transports crude oil from Hoima in Uganda to Chongoleani in Tanga region.
SOURCE: RIVIERA
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bado una hope cargo ya EACOP kupita Mombasa?
CC: Tony254