Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikwasababu huddah sio maarufu even uko Kenya, ata ukimpa picha yako apost nobody will care!!
Brathe 1.2 million followers sio popular? Hebu shake your head.
Screenshot_2017-09-18-19-17-15.png
 
ukitaka kuamsha hasira za wakenya,zungumzia issue ya umiliki wa nyumba zao binafsi jijini nairobi.

NB:
nimewachapa wakenya bakora nyingi sana za kushtukiwa kuanzia page ya 4003-4004

kwa anayetaka kushuhudia,apitie hizo page(4003-4004)...shenzy-type
Nairobi si city maskini wee mzee,
Plot moja 50by 100 kilimani inaeza nunua 10acres masaki..huhuhuh
nyumba jenga town ya kwenu eg kisii
 
msisitizo:
ukitaka kuamsha hasira za wakenya,zungumzia issue ya umiliki wa nyumba zao binafsi jijini nairobi.

NB:
nimewachapa wakenya bakora nyingi sana za kushtukiwa kuanzia page ya 4003-4004

kwa anayetaka kushuhudia,apitie hizo page(4003-4004)...shenzy-type
 
Tanzanians surely hamuonangi aibu kujipima na serious countries kama Kenya. ....Hahaha. am done.
see you tomorrow after work
 
This is buru buru estate in eastlands which housed some nyangau called kadoda.........it was built by moi government under national housing corporation of Kenya
89bed36d9a9a66d090296e2010eb9123.jpg
f4a5bbca3c8cebc73034ff2c6ac354aa.jpg
a947c30aafce15a0b9bb5ebd6de152d7.jpg
acdb72e1f1b25c17a93ff89121798f40.jpg
aacf00a598d06c5d39fbc6177dd2817c.jpg
ff9b829246f169f51b1278e3e038ecde.jpg
ee0e1167cbf73360e2c8e3a76eab5e62.jpg
5d83632ef0d03d1fc9450cf37be9c697.jpg
 
nyumba za ushago na umerudia mara mia moja. ..........nchi ya ldc inaweza ambia nini Kenya kwa houses surely. hii wall punguani wamejaa kweli.......
nitarudia kila nitakapo jisikia kufanya hivo....nitarudia mpaka yesu arudi....
 
This is buru buru estate in eastlands which housed some nyangau called kadoda.........it was built by moi government under national housing corporation of Kenya
89bed36d9a9a66d090296e2010eb9123.jpg
5d83632ef0d03d1fc9450cf37be9c697.jpg
why all houses look the same?....are they being owned by just one person?....
 
msisitizo:
ukitaka kuamsha hasira za wakenya,zungumzia issue ya umiliki wa nyumba zao binafsi jijini nairobi.

NB:
nimewachapa wakenya bakora nyingi sana za kushtukiwa kuanzia page ya 4003-4004

kwa anayetaka kushuhudia,apitie hizo page(4003-4004)...shenzy-type
 
mwambieni yule jobless na mkora aliyekuwa ana-post picha kwa fujo mida ya mchana aje hapa nimchape bakora za kutosha.

mchana nilikuwa busy ila sasa nipo free kwa battle.
 
Back
Top Bottom