Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Kama investor wamegoma serikali si inajenga kuna shida gani kwani.Hakuna serikali yoyote duniani yenye uwezo wa kukidhi mahitaji ya makaazi ya wananchi bila kutegemea private sector. Hata serikali tajiri namna gani haina uwezo huo. Lazima GoT ikubali kugawanya majukumu ya kujenga skyscrapers na majengo mengine na private sector. Huu upuuzi wa GoT kujenga skyscrapers zote ndani ya TZ ni ishara tosha kwamba investors wa real estate wamegoma kuinvest hapo TZ. Kenya skyscrapers zinajengwa na both GoK na private sector. Skyscrapers za CBD zinajengwa na serikali na skyscrapers za Upperhill na Westlands zinajengwa na private sector.
Ingekuwa investors wamegoma na serikali haijengi hapo ndo ingekuwa shida.