Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
Tony254 umeiona hii.?Uongo mtupu
Hajui Uhuru heights, Viva Tower, Sky tower, Palm Village, Avic Town, Noble victoria, Treasure Victoria, Avic Intl (sea view) Avic apparments (Oysterbay) ,Dream glory residence, dongxin huafu ni private investments, na Hata MNF Towers ni JV na CRJE.
Means dar is a fishing village. Watu millioni kumi wanatumia 4 lane bridge 😂😂 such a shame!Nimekuuliza kuna ulazima gani daraja liwe na njia nane?maana umekua ukilazimisha Tz tukuonyeshe daraja kama lenu hujioni kama mwehu?kwahyo kama lenu lina lane8 ndio lazima lazima madaraja yajengwe hivyo?Fala
Nani kaijenga?Mwalimu Nyeree twin tower 32FL
Kama.baba yake alishasema hawezi kushinda wafuasi wake ni akina nani wapinge kauli ya mzee.and remember this is railas's very last chance... his very last bullet, that is..
asipo toboa tena hii, sijui itakuaje tena kwa wafuasi wake.. ole wangu wao..
hivi, watakua wamestahimili msongo wa mawazo nyingi since 1997, 2007, 2013, 2017 na sasa 2022View attachment 2320622
Kwanini amekimbia sasa?Huyu kwanza ameshashinda ubunge na amekimbia nchi![]()
Hahahaha, wakati ninakuletea ushahidi, ninyi endeleeni kusherehekea skyscrapers sisi tunaimarisha kilimo, viwanda, utalii na madiniUnapenda uongo. Eti ndani ya miezi 6, exports za Tanzania zimefika $11 billion? Hebu leta ushahidi haraka.





Hawajamaa akili zao ni chumvi kabisa, hamna kitu kichwaniWakenya wanapenda vitu cosmetic lakini ukiangalia ndani ni uozo mtupu.
Sasa iweje huyu mjinga kamtandika jamaa risasi?Najua mnatama sana tuwe na vurugu hehe kamativya roho chafu lakini I hope we don't , it affects alot of people...... Halafu it will be hard mtu kukana hizi kura sababu zote zimewekwa online mtu yoyote aliye omba idhini anaeza kuzichambua
Sawa Ndinda. Umejibu vizuri. Kumbe ni kweli mnazo.Uhuru heights 27F , Viva Tower 23F, Sky tower 22 F, Palm Village, Avic Town(A whole satellite town), Noble victoria 16F, Treasure Victoria 18F, Avic Intl (sea view) Avic apparments (Oysterbay) ,Dream glory residence, dongxin huafu ni private investments, na Hata MNF Towers 30F ni JV na CRJE.
Kwahiyo kwasababu ninyi mnathamini skyscrapers na sisi tunathamini kilimo na viwanda, nani amemshinda mwenzake?Mkishindwa huwa mnabadilisha goal posts.


