Mm huwa najiuliza wanaposhangilia makusanyo makubwa ya kodi cjui huwa wanamaanisha nn ikiwa serikali yao inashindwa kujenga kila kitu kwa pesa za ndani, sasa cjui pesa huwa zinaenda wapi.Kwahiyo unafurahia serikali yenu kushindwa kujenga majumba ili kuwapangisha wananchi kwa Bei nafuu badala yake unataka watu binafsi ndio wajenge ili kuwaumiza wananchi kwa kuwapangisha kwa Bei kubwa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mfano mzuri tuu angalia hata makabila yao yanavyochukiana hadi kupigiana kura za kikabila ila huku Tz sisi ukabila umekuwa utani tunaishi pamoja na naweza nikawa kabila fulani ama dini fulani nikampigia mtu kura wa kabila au dini nyingine maana sisi ni Tanzanians kwanza hayo mengine ni second.Wakenya mpo serious sn na hyo ndiyo culture yenu, ndivyo mlivyoumbwa na ndivyo mlivyolithi toka kwa mabibi na mababu zenu, ukiingiza utani kdg tu mkenya anakasirika, ugumu wa maisha unafanya muwe serious mda wote huku mkiwa mmekunja sura.
Hata serikali ya USA walikuwa wana program za ujenzi wa nyumba kwa makazi ya watu duni zinaitwa projects houses na hata eastern europe huu utaratibu wa serikali kujenga nyumba za watu upo tofauti ni kuwa serikali inayojenga ina pesa na ile iliyokasimisha majukumu yake kwa private sector haina helaKwahiyo unafurahia serikali yenu kushindwa kujenga majumba ili kuwapangisha wananchi kwa Bei nafuu badala yake unataka watu binafsi ndio wajenge ili kuwaumiza wananchi kwa kuwapangisha kwa Bei kubwa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tatizo una mdomo mrefu kama chiriku. Papara papara mingi. Soma hapa kisha uombe msamaha kwa kujifanya mjuaji kwa mambo usiyoyajua. Nikikuambia kwamba nchi ya nje ambayo Wakenya wengi zaidi wanaishi ni USA unastahili kusikia sio kupinga hovyo. Soma hapaKwahiyo kichwa chako ndicho chenye kujua uhusiano wa idadi ya raia wa nchi Fulani, sivyo?. Hivi hujui chaguzi Kama hizo pia zinatumika kupata "rough picture" ya idadi ya watu katika maeneo au mijini. Sasa wewe umetumia nini kujua kwamba USA ndiko kuliko na wakenya wengi kushinda Qatar?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
hotel tuu? Viwanda vya maziwa, viwanda vya nyama, kq na so many!Ukichunguza vizuri, Serikali yao ina Hadi Hotel. Ni midomo tu.
Of course we miss Mwalimu so much his ideas and vision still live on.
Hii league sijaielewa bado au ndio ile waliyoikataa Ulaya wakaona waje wafanye majaribio huku kwanza.
Hakuna serikali yoyote duniani yenye uwezo wa kukidhi mahitaji ya makaazi ya wananchi bila kutegemea private sector. Hata serikali tajiri namna gani haina uwezo huo. Lazima GoT ikubali kugawanya majukumu ya kujenga skyscrapers na majengo mengine na private sector. Huu upuuzi wa GoT kujenga skyscrapers zote ndani ya TZ ni ishara tosha kwamba investors wa real estate wamegoma kuinvest hapo TZ. Kenya skyscrapers zinajengwa na both GoK na private sector. Skyscrapers za CBD zinajengwa na serikali na skyscrapers za Upperhill na Westlands zinajengwa na private sector.Hivi huu upumbavu wako bado haujakwisha?, Kati ya miradi ya serikali na miradi ya watu binafsi ni ipi yenye faida kwa nchi na wananchi wa kawaida?, Serikali yenu ni dhahifu Sana ndio sababu imewekwa mikononi mwa matajiri, matapeli na familia chache za wanasiasa. Hovyo Sana ninyi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Imagine China Leo ingekuwa inasubiri sector binafsi ijenge reli sijui ingekuwa je.Hata serikali ya USA walikuwa wana program za ujenzi wa nyumba kwa makazi ya watu duni zinaitwa projects houses na hata eastern europe huu utaratibu wa serikali kujenga nyumba za watu upo tofauti ni kuwa serikali inayojenga ina pesa na ile iliyokasimisha majukumu yake kwa private sector haina hela
Wacha wivu na mabingwa wa nchi, timu yenye mvuto zaidi Afrika mashariki na kati kwa ss na wenye pesa na uwezo wa kununua mchezaji yeyote Africa.Yanga anatoka wapi huku maana ranking yake Africa ni ndogo sana![]()
![]()
![]()
![]()
Duniani kote reli inajengwa na serikali. Wapi umeona reli ikijengwa na private sector? Nipe example. Hapa tunazungumzia real estate, yaani majengo hususan majengo marefuImagine China Leo ingekuwa inasubiri sector binafsi ijenge reli sijui ingekuwa je.
Kuna vitu vingine tunakaririshwa tu, hata hatu reason.
Real estate Dar is ahead of ka Nairobi kwa $3b, so hizo real estate zote imejenga GoT?Hakuna serikali yoyote duniani yenye uwezo wa kukidhi mahitaji ya makaazi ya wananchi bila kutegemea private sector. Hata serikali tajiri namna gani haina uwezo huo. Lazima GoT ikubali kugawanya majukumu ya kujenga skyscrapers na majengo mengine na private sector. Huu upuuzi wa GoT kujenga skyscrapers zote ndani ya TZ ni ishara tosha kwamba investors wa real estate wamegoma kuinvest hapo TZ. Kenya skyscrapers zinajengwa na both GoK na private sector. Skyscrapers za CBD zinajengwa na serikali na skyscrapers za Upperhill na Westlands zinajengwa na private sector.