Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia comment za wanigeria awaamini kama kama hii police station ni TZ,hapa ingekua jirani zetu wa north wangeponda tu
20220810_103435.jpg
20220810_103439.jpg
20220810_103442.jpg
20220810_103502.jpg
 
imagin baba ya raila, yani jaramogi going odinga, alimlaani mwana wake raila, kua, itakaribia sana kiti cha urais kama mimi, utaona ni kama tayari umeshika ikulu, lakini lo! hicho kiti hutawai iona.. itakuponyoka mikononi...

heb, yatafakari hayo........ 🤫🤫🤔
Hatujui nani atashinda kati ya Ruto na Raila. This thing can go either way. It is too close to call. Let us just wait.
 
Mhmm! Huu utandawazi na haki za binadamu siku hizi itawezekana kweli?
Ukizingatia ni Afrika ndio inataka kujikomboa visingizio vitakuwa vingi,haki za binadamu, wasaliti watakuwa wengi, wapinzani watagain momentum maana wamepata cha kusema.

Disunity among of African nations inaitesa sana Afrika. Ebu fikiria leo Tanzania tunasema tunafanya jambo letu la msingi kushirikiana na nchi jirani, halafu liwe ni lenye tija ambalo litaondoa tatizo na kusababisha kuyumbisha uchumi wa wakubwa..wakitaka kutuzuia wakatoa donge nono kwa jirani yetu ili atusaliti, hawezi kuliacha kwasababu ya ubinafsi wao.

Kipindi kile cha Mao dunia ilikuwa bado haijawa kijiji kama sasa hivi mambo mengi yalikuwa gizani, na dunia ilikuwa imetoka kwenye WW2 nchi nyingi zilikuwa zinajenga chumi zao.

Wasiwasi wangu ni sasa hivi, angalia Magufuli alivyokuwa akipingwa kwa mambo mengi baada ya kuonyesha nia thabiti ya kujenga uchumi ulio imara, hili jambo lilikuwa ni tishio kwa nchi nyingi.

Kama ikitokea tukapata viongozi wazalendo haswaa kama akina Mao,Nyerere n.k tunaweza kusonga mbele lakini tofauti na hapo labda muujiza utokee. Vita ya Ukrain na Russia imetuacha uchi vibaya mno Afrika. Ardhi ipo, maji yapo,mali ghafi zipo ila tunaagiza ngano na mafuta ya kula, aibu.

Afrika tuna viongozi wenye akili lakini hawana maono.
Uliyoyasema ni sahihi kabisa, inatakiwa nia ya dhati kwa viongozi wetu kuamua kujenga uchumi wa nchi zetu. Magufuli aliweza, na kilichoitisha dunia siyo maendeleo tuu ya Tz bali kuamsha viongozi wengine wa Afrika kuwa, sisi tunaweza.

Hata hivyo kuwa mzalendo tuu haitoshi, ukiendekeza mambo ya "domokrasia", na kumchekea nyani utavuna mabua. Maadam kiongozi mzalendo anayetaka kuleta mapinduzi ya kiuchumi ataandamwa kivyovyote vile, bora mwai iwe mbwai, ondoa wote wanaopinga maono la sivyo utaondolewa wewe.
 
imagin baba ya raila, yani jaramogi going odinga, alimlaani mwana wake raila, kua, itakaribia sana kiti cha urais kama mimi, utaona ni kama tayari umeshika ikulu, lakini lo! hicho kiti hutawai iona.. itakuponyoka mikononi...

heb, yatafakari hayo........
Haya maneno ni makali sana kwa baba kumtamkia mtoto wake, sasa ni nini alifanya wrong mpaka mzee wake akamtolea laana
 
Uliyoyasema ni sahihi kabisa, inatakiwa nia ya dhati kwa viongozi wetu kuamua kujenga uchumi wa nchi zetu. Magufuli aliweza, na kilichoitisha dunia siyo maendeleo tuu ya Tz bali kuamsha viongozi wengine wa Afrika kuwa, sisi tunaweza.

Hata hivyo kuwa mzalendo tuu haitoshi, ukiendekeza mambo ya "domokraria", na kumchekea nyani utavuna mabua. Maadam kiongozi mzalendo anayetaka kuleta mapinduzi ya kiuchumi ataandamwa kivyovyote vile, bora mwai iwe mbwai, ondoa wote wanaopinga maono la sivyo utaondolewa wewe.
Kabisa mkuu kuna maamuzi hayahitaji kubembelezana lasivyo hautafika unapotaka kwenda. Kama Ndiyo iwe ndiyo, Hapana na iwe hapana.

China ya leo ni msingi aliouweka Mao Zedong na comrades wake. Afrika tuna safari ndefu sana.Angalia Libya ilivyokuwa nzuri kipindi cja Muamar Gaddafi.

Sasa hivi Walibya wanaikimbia nchi yao.
 
Karibu sana mkuu endelea kutupatia updates mnaipemdezesha Tanzania yetu, kwahiyo hapo mnaondoa moto wenu au mnaboresha miundombinu?
Hapo kuna overpass itajengwa uelekeo wa kutoka barabara kuu kuelekea machinjion.. nyingine tumepitia majumbasita.. so tunaangalia na kuadhimia huo umeme/nyaya karibu na overpasses ziwekweje ili isilete madhara
 
imagin baba yake raila odinga, yani jaramogi oginga odinga, alimlaani mwana wake raila, kua, utakaribia sana kiti cha urais kama mimi.. utaona ni kama tayari umeshika ikulu.. lakini lo!.. hicho kiti hautawai iona.. itakuponyoka mikononi ukiona...

heb, yatafakari hayo........

Ukute UK na WSR huwa wanakutana usiku kunywa chai halafu wanasema huyu boya hataamini tutakacho mfanya saa hii wacha nijifanye niko na yeye
 
Kabisa mkuu kuna maamuzi hayahitaji kubembelezana lasivyo hautafika unapotaka kwenda. Kama Ndiyo iwe ndiyo, Hapana na iwe hapana.

China ya leo ni msingi aliouweka Mao Zedong na comrades wake. Afrika tuna safari ndefu sana.Angalia Libya ilivyokuwa nzuri kipindi cja Muamar Gaddafi.

Sasa hivi Walibya wanaikimbia nchi yao.
Wanakimbia demokrasia😂😂
 
Hapo kuna overpass itajengwa uelekeo wa kutoka barabara kuu kuelekea machinjion.. nyingine tumepitia majumbasita.. so tunaangalia na kuadhimia huo umeme/nyaya karibu na overpasses ziwekweje ili isilete madhara
Safi sana mkuu. Patadamsh ile mbaya.
 
Back
Top Bottom