Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Wewe pengine ndio huna roho mbaya na Kenya. Ila hawa watu wana roho mbaya na Kenya. Watashangilia sana ikiwa Kenya itafeli kabisa. Geza Ulole, joto la jiwe na The best 007Sisi sote ni ndugu moja tuu wakoloni ndio wametugawa ila wa Tz kiuhalisia hawaitakii kenya mabaya ila ni utani uliopitiliza tuu hata kwenye mpira wetu wa Simba na Yanga tuko hivyo hivyo baada ya mechi tunakunywa beer pamoja.





