NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,334
- 17,919
Kati ya Mkenya na Mbongo nani atachukulia utani serious? Usinichekeshe bro.🤣🤣Utani tu sema kunyan kila kitu mnachukulia serous sana na ndio maana humu mitandaoni kutwa ni mizozano na mataifa mengine,tena mnawaonea sana waganda mkija kwetu battle tunalibadilisha kwa kiswahili mpaka mnaomba poo,by the way watanzania tuna ndugu na marafiki wengi wakenya tunaanzaje kuwachukia,sema nyie chuki zenu ukabila zilizopandikizwa toka wadogo ndio hizo zinazowatesa



