Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukute UK na WSR huwa wanakutana usiku kunywa chai halafu wanasema huyu boya hataamini tutakacho mfanya saa hii wacha nijifanye niko na yeye [emoji23][emoji23][emoji23]
Loh! Za jikoni hizi au za mtaani [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Safi sana mkuu. Patadamsh ile mbaya.
Inaelekea itakuwa interchange flani hivi kama wakiondoa zile traffic lights pale junction ili traffic iwe seamlessly na ndio maana wamebomoa sehemu kubwa
 
Ukiona skyscraper lolote Tanzania ujuwe limejengwa na serikali. Private sector ya Tanzania ni useless haiwezi kujenga skyscraper hata moja. Nchi yenu bado ya ujamaa sana, mnaitegemea serikali kwa kila kitu.
Mbona hii yote (mpaka barabara) ni Chinese government owned kwani serikali yenu imekatazwa na wao kujenga?
images (100).jpeg
 

Washaanza kupigana uko [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91]
Imegoma kufunguka mkuu nilitamani nione kinachoendelea. Ngoja nitafute source nyingine.
 
Back
Top Bottom