Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Fool Porcelain is not glass!Percolain, is Vitreous China, and its like glass. infact they break like glass when they fall
Fool Porcelain is not glass!Percolain, is Vitreous China, and its like glass. infact they break like glass when they fall
Huyo dada hajui hata anachoongea,eti anakuambia kenya na south africa wamebond kitu flan!anajisemea tu ili mradi apate viewers wengiVideo za kuokoteza hazitusumbui ni kama kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. GDP inaonekana haisimuliwi.
Geza Ulole hicho kikombe ni cha bati wewe. dopchinski wachana na huyo mtu.hiyo ni porcelain si bati kama zenyu!
Naona umehisi wivu kwa sababu anasifia Kenya.Huyo dada hajui hata anachoongea,eti anakuambia kenya na south africa wamebond kitu flan!anajisemea tu ili mradi apate viewers wengi
📢📢📢 hebu ongeza volume kieleweke vizuri... Geza Ulole, umeskiaGeza Ulole hicho kikombe ni cha bati wewe. dopchinski wachana na huyo mtu.
But Tanzania is the the biggest source of Kenyans' remittances in Africa, it hosts many Kenyans' companies than any other country in Africa. Now try to connect with what you are talkingif their is any dangerous country for other africans to go, and especially kenyans... it would most definitely be tanzania. tanganyikans don't want anybody in their country.. they even seem to reject tourists who come for holidays, bringing in lots money..
tanzanians huaga wanatimua kila mtu wa nje kwao..
Tanzania for Tanzanians only!. hiyo nayo lazma kieleweke!![]()



Ukabila, ukabila, ukabilaDyfre Wakikuyu wamekataa kutokea kuvote. Naskia voter turnout in Nyeri ni between 15-30%. Hio itafinya Ruto ile mbaya.
Kwasababu viwanda vingi Tanzania hutumia Natural gas, kumbuka viwanda ndio watumiaji wakubwa wa umeme. Kenya bado hamjafikia 3000MW.1,400-1,500 MW ni consumption yenu ya umeme. Production ni 1,700 MW. Kwa kawaida lazima production iwe juu zaidi kushinda consumption. Hapo kwa 1,700 MW sijahesabu Kinyerezi gas plant ambayo bado ipo kwenye commisioning and testing phase. Mwakani baada ya testing ya Kinyerezi kukamilika, mtakuwa mnazalisha kati ya 1,900 MW na 2,000 MW ya umeme. Ujuwe Kenya inaconsume around 2,100 MW na inaproduce around 3,000 MW. Kenya consumes more electricity than Tanzania produces.
Jambo la kujifunza hapa ni kwamba ukabila ni upumbavu na hatariaya ya ya yaaah! na mbona sasa..basi nikama wakikuyu wako na ubinafsi flani.. yani wao wanapendana wao wenyewe.
ruto alikua na hgh hopes sana mount kenya, his only stronghold outside rift valley.. ole wangu ruto. ata baada ya hio campaign yote!, ile mamillioni ya pesa ali mwaga huko nayo!..siasa na mbaya aky.! ata ivo namtakia kila laheri
Kenya without Kikuyu is nothing, hovyo Sana ninyithen nikama wakikuyu hawana morale ama bidii ya kupiga kura, coz afteral the deputy seat is obviously their's frm whichever side. so ni kama wanasema liweliwalo badi tuko 2nd in command serkalini
Kwasababu wakenya wengi hutoroka nchi Yao na kwenda kufanya kazi nje ya nchi, ulishasikia Japan au Germany ikifanya hivyo?. By the way Qatar ndio nchi yenye wakenya wengi waliojiandikisha kupiga kura, hiyo inakupa picha kwamba, wangi wa wakenya hukimbilia nchi za kiarabu kufanya kazi za ndani na ulinziWakenya wa diaspora wanakubaliwa kupiga kura. Yaani Kenya iko tu level yake.
Hebu wacha ujinga. Kutaja kabila sio ukabila. Wewe ni mnafiki mkubwa kwenye huu uzi. Kwa hivyo kutaja neno "Wakikuyu" ni ukabila? Wewe ni mpumbavu wa mwisho. Halafu Watanzania mna unafiki mkubwa.
Diaspora kubwa ya Kenya sio Qatar, ni US. Ila hao wa US hawajajiandikisha kwa wingi kupiga kura ila US ndio nchi yenye population kubwa zaidi ya Wakenya kushinda nchi nyingine yoyote duniani.Kwasababu wakenya wengi hutoroka nchi Yao na kwenda kufanya kazi nje ya nchi, ulishasikia Japan au Germany ikifanya hivyo?. By the way Qatar ndio nchi yenye wakenya wengi waliojiandikisha kupiga kura, hiyo inakupa picha kwamba, wangi wa wakenya hukimbilia nchi za kiarabu kufanya kazi za ndani na ulinzi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app