Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huku wanachukua sana sana university students. 2013 wakati bado nilikuwa student kwa university, wengi wetu tuliapply na kupata hio kazi ya IEBC ya kuwa clerk. Malipo sio mbaya unavyofikiria. Ila kuna permanent and pensionable jobs za IEBC kwa mfano returning officer analipwa pesa nyingi sana na ni kazi permanent and pensionable.
Nje ya mada kidogo. Hivi umewahi kusoma au kusikia kisa cha Ngoswe? Kitabu chake kinaitwa Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe by Edwin Semzaba. Kisa chake kinahusiana na mambo ya sensa, kama bado kisome tafadhali ufurahishe moyo wako.
 
Nje ya mada kidogo. Hivi umewahi kusoma au kusikia kisa cha Ngoswe? Kitabu chake kinaitwa Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe by Edwin Semzaba. Kisa chake kinahusiana na mambo ya sensa, kama bado kisome tafadhali ufurahishe moyo wako.
Mambo ya sensa?
 
Ila dah! Mzee unapenda sana mazingira nimegundua ni kitu kiko damuni, ndio hivyo tena nani atatupangia kwa usafi na mpingilio wa kuvutia kama huu kwenye nchi zetu?
 
Hata hivyo pia hawana maajabu yoyote hao wazungu, Bongo tu tumezubaa, ila Nina uhakika kama mwamba angekua hai tungeshuhudia yote haya tena kwa ukubwa ambao tengeshangazwa wengi wetu, sipati picha zile plan za kuibadilisha magomeni sunna mpaka Kinondoni zote zile kuanzia panda shuka hadi manyanya na viunga vyake, ila viongozi tuliopo nao sasahiv ni wapiga domo tu, hata sijui hizo plans ziliishia wapi pia
Watakwambia hatuna pesa sasa hivi tuna miradi mingi tunaikamilisha. Hakuna kuwaza nje ya hapo.
 
Nje ya mada kidogo. Hivi umewahi kusoma au kusikia kisa cha Ngoswe? Kitabu chake kinaitwa Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe by Edwin Semzaba. Kisa chake kinahusiana na mambo ya sensa, kama bado kisome tafadhali ufurahishe moyo wako.
Bado sijakisoma. Nitakitafuta.
 
IMG_3310.jpg
 
Makupa Causeway 8 lane bridge inafanya Dar-is-a-scam ikae kijiji cha uvuvi mbele ya Mombasa. Hadi picha wadanganyika hawaamini Mombasa imechapa Dar
Screenshot_20220807-210156.jpg
FB_IMG_16598951267640237.jpg
FB_IMG_16598950645254903.jpg
FB_IMG_16598950686942182.jpg
FB_IMG_16598950233659091.jpg
FB_IMG_16598949557464029.jpg
FB_IMG_16598949638301299.jpg
FB_IMG_16598951827975600.jpg
FB_IMG_16598950302439380.jpg
FB_IMG_16598950302439380.jpg
FB_IMG_16598456725588697.jpg
 
Ndio maana nilisema kwa Kuanzia TBA na Nhc wawezeshwe wao ndio wapime viwanja kulingana na wanavyotaka kufanya development.

Sisi tukiona viwanja vimepimwa na halmashauri tunasema mji umepanga.
Style yenyewe ya kupima viwanja ni ile ile haina ubunifu.

Mimi mortgage naona itasaidia sana kuliko kuruhusu watu kujijengea hovyo, mtu anajenga chumba kimoja anakaa miaka kumi anajenga cha pili, si bora alipe mortgage tu.
Serikali iweke utaratibu nhc na tba wakijenga nyumba wanashirikiana na Tanesco na watu wa maji nk, barabara wanazipiga lami.
Miundombinu yote weka chini ya ardhi hii itapunguza hata rushwa. Hakuna rushwa ya kiwanja wala ya kuungiwa umeme na maji
Waziri wa ardhi amepiga marufuku viwanja vya 20/20, hivi navyo ni shida sana ndio vinapelekea miji kuwa na uswahili wa kuchoka. Je amri yake itatekelezeka?
 
Hakuna kwa vile utotoaji si GMO kama ulivyodai! Usigeuze topic jibu swali langu la utotoaji wa vifaranga na GMO! Ukiwa hujui kitu nyamaza na si kudai utotoaji wa vifaranga ni GMO! Wacha kupotosha!
Kwani GMO ni nini Kama sio "branch of Genetics?" au unadhani GMO ni Geography, Mathematics au Physics?, Hili ni eneo langu la kujidai usinijaribu utapata matatizo

Utotoaji wa vifaranga unafanyika kwa kufanya "selection of genes from different chickens and cross breed them in order to get desired types of chicken". Key words are "selection of genes" GMO also works by selecting genes and changes genetic material of an organism/plants in order to get desired types of plants. Hope you understand better now.

Lengo ni Moja Kati ya kile kinachofanyika katika kufanya cross breeding katika kuzalisha vifaranga wa kisasa na katika mimea ambako huzalisha mazao ya GMOs.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
my take:

na kama kweli hii Jamiiforum ulianzishwa na watanzania na wala sio wakenya..! basi heko na kongole zangu kwenu nyie wabongo, hivi naona ni platform ilioratibiwa vizuri sana

vitu kama hizi internet platforms inakuaga sana sana inaundwa na kuokwa na magwiji wa kikenya, yani ICT Gurus and Wizards walio na tajriba ya hali ya juu, na pengine kwa kiasi wasouthafrica na wanigeria..

hivi, JF is just another 'facebook' or 'whatsApp' of its kind..

but even more so, ahead of fb and whtapp, one can easily lay out his complaint to the readily available and listening admins, concerning content tht violates the rules, eg. violence incitements, sensitive political articles and even pornographic literature..

ntasema wabongo roundi mmejaribu sana..
yani sikutaraji kitu kama hiki iwe inatoka tz na wala sio iHub, pale upperhill, yani vitu kama hizi inakuga sana sana yetu. hehe.. ..

naona wabongo, mnakuja sana. mzidi kujituma vivyo hivyo, soon tutawafungulia afisi kule konza technopolis
,sifia tu moja kwa moja acha kuzunguka mzee
 
Back
Top Bottom