Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe we jamaa ni Karani wa uchaguzi alafu unadai kwamba ukija bongo wewe ni milionea .? Kwahzo elfu 50 tz sh utakazolipwa per day .? 50k×6= 300k.. hii ukija bongo ni pesa y kutumia usiku mmoja tu kidimbwi hapo, Jonie walker black label chupa mbili na chips kuku, pamoja na pesa ya bolt
Kwa hela hiyo mimi nikikaa hata grocery ya bia tuu nitakaa kama mwizi maana siwezi kujiamini kwa kiasi hicho cha pesa.
 
Acha aongee ukweli najua mtahitaji justification, Uganda wanaongozwa na dictator M7 miaka chungu mzima ni yeye tu ndio anajiona anaweza kua raisi, Ethiopia civil wars,S.Sudan failed state,Somalia terrorism backyard lol ofcz you can't compare kenya na hao jamaa
Uganda is more political and economic stable than kunyaland! What is he bragging about? Huge Debts written all over matakoni?
 
Wenzetu wana makampuni makubwa sana ya real estate na well developed housing finance wanachukua ardhi kubwa wanajenga mji watu wananunua kwa mortgage.
Hata hivyo pia hawana maajabu yoyote hao wazungu, Bongo tu tumezubaa, ila Nina uhakika kama mwamba angekua hai tungeshuhudia yote haya tena kwa ukubwa ambao tengeshangazwa wengi wetu, sipati picha zile plan za kuibadilisha magomeni sunna mpaka Kinondoni zote zile kuanzia panda shuka hadi manyanya na viunga vyake, ila viongozi tuliopo nao sasahiv ni wapiga domo tu, hata sijui hizo plans ziliishia wapi pia 🤦
 
Wenzetu wana makampuni makubwa sana ya real estate na well developed housing finance wanachukua ardhi kubwa wanajenga mji watu wananunua kwa mortgage.
Ndio maana nilisema kwa Kuanzia TBA na Nhc wawezeshwe wao ndio wapime viwanja kulingana na wanavyotaka kufanya development.

Sisi tukiona viwanja vimepimwa na halmashauri tunasema mji umepanga.
Style yenyewe ya kupima viwanja ni ile ile haina ubunifu.

Mimi mortgage naona itasaidia sana kuliko kuruhusu watu kujijengea hovyo, mtu anajenga chumba kimoja anakaa miaka kumi anajenga cha pili, si bora alipe mortgage tu.
Serikali iweke utaratibu nhc na tba wakijenga nyumba wanashirikiana na Tanesco na watu wa maji nk, barabara wanazipiga lami.
Miundombinu yote weka chini ya ardhi hii itapunguza hata rushwa. Hakuna rushwa ya kiwanja wala ya kuungiwa umeme na maji
 
Wakunya bila kuiga Tanzania wanaona maisha hayaendi kabisa, baada ya yule wa wheelbarrow kuiga za CCM hawa wakaiga za CDM 😄😄😄

Yaani wamejitengenezea katanzania kao kunako kunyaland 😄😄

images (96).jpeg
Screenshot_20220806-201413.png
 
Wakunya bila kuiga Tanzania wanaona maisha hayaendi kabisa, baada ya yule wa wheelbarrow kuiga za CCM hawa wakaiga za CDM 😄😄😄

Yaani wamejitengenezea katanzania kao kunako kunyaland 😄😄

View attachment 2316394View attachment 2316395
Ukitaka kujua kama hawa wajinga hawawezi kuishi bila sisi, Sisi ndio tunasimamia uchaguzi wao, sisi ndio tuna wa influence wachague mtu tunaemtaka 🤣🤣🤣 kweli tuna wacontrol hawa jamaa .. ni mwendo wa kula tax payers money 🤣🤣 Tony254
 
😁😁😁😁 Yaani wanatuwaza aisee ni kisanga!

Wanajifanya wao mabepari hawakati ujamaa wakati kichinichini wanakubali swaggs za wajamaa 😁😁😁😁

images (97).jpeg
 
Bepari gani anamtegemea mchina mpaka hela ya nauli? 😁😁😁😁
Na wachina ni watu wabaya sana wakishajua kama nchi yako ni vibepari uchwara 🤣🤣🤣 wanamiliki mpaka barabara huko kwao sikuhiz kwa jina la PPP according to some ignorant Kenyans in here 🤣🤣🤣 Dah.! Let's wait and see..
 
Back
Top Bottom