Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Hivi Watanzania mbona Mkenya akipost picha ya maisha yake huwa mnamkandamiza na kusema kwamba anaishi maisha ya chini? Kwani huko Tanzania hakuna karani wa uchaguzi? Punguzeni ujinga basi.Karani wa uchaguzi 😄😄😄😄
Huku Tanzania watu kama ninyi ni wa hali ya chini kichizi

