Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
It is big but it is not as big as two rivers. It is probably top 3 biggest mall in Kenya.yani, another first from kenya. the biggest mall in eastern africa yet.! 💥🔥🔥
It is big but it is not as big as two rivers. It is probably top 3 biggest mall in Kenya.yani, another first from kenya. the biggest mall in eastern africa yet.! 💥🔥🔥
Construction of one of the biggest malls in East Africa is almost complete. The mall is in Eastleigh, Nairobi.
Cc tuusan coodip1 chongchung
Sama boy 255 Geza Ulole The best 007
Hapa msomali katisha
Wing ndio inabeba ndege force kubwa iko kwenye wings any slight miscalculation ni very fatal. Wing inapokua damaged ina transfer metal strain to the other undamaged parts hivyo ni bora kuweka wing mpya kuliko repair kwasababu safety standards za usafiri wa ndege ziko very highhuhitaji rocket science kuona hiyo wing imeunganishwa vipande vipande na japokuwa ni gharama kuagiza na ku-fit ila wing inarekebishika na ajali hii ingetokea Qatar wala isingechukua zaidi ya wiki kju-fix!
Expensive View attachment 2316912
Sana.Hapa msomali katisha
Ni kweli. Wing ni critical part of the aeroplane kwa sababu inabeba engine. Wing ndio inabeba uzito wote wa engine. Engine ya passenger jet huwa ipo fixed chini ya wings. Pili, wing ni muhimu kwa sababu inabeba mafuta ya ndege. Watu wengi hawajui kwamba mafuta ya ndege huwa yanakuwa stored kwenye wings. Hizo ni sababu mbili tu kwa nini wing ni muhimu lakini kuna sababu nyingi zaidi.Wing ndio inabeba ndege force kubwa iko kwenye wings any slight miscalculation ni very fatal. Wing inapokua damage ina transfer metal strain to the other undamaged parts hivyo ni bora kuweka wing mpya kuliko repair kwasababu safety standards za usafiri wa ndege ziko very high
Ni jambo jema,tulikuwa tunawataka America na France sio Matapeli wa China.Dashed hopes!
View attachment 2317100
Shetani amepiga pabaya, jamaa nilikua nafuatilia show yao dstv kama kundi ila nilinotice chimano hayuko sawa kabisa,nilipotezea ilo jambo...anakipaji kizuri ha kuimba huyu jamaa...Kuna mtaliano mmoja hivi nae mlainimlaini hv alikua kwenye show yao...Ssma wenzake wako sawa tu![]()
Why Chimano will not post his lover online
He said his partner prefers being behind the sceneswww.the-star.co.ke
Uwekezaji mkubwa huu, natoa kongole...huu mji unazidi kukomaaConstruction of one of the biggest malls in East Africa is almost complete. The mall is in Eastleigh, Nairobi.
Cc tuusan coodip1 chongchung
Sama boy 255 Geza Ulole The best 007
Kwani nimesema sio wakenya?sababu wasomali sio wakenya na wala hawa constitute more than 6% of kenyan population, even ahead merus, kisiis and so on.. 🤔🤔
ni bora kuyajua hayo leo toka kwako..
View attachment 2317226
Asante. Hii ni Wasomali wamewekeza.Uwekezaji mkubwa huu, natoa kongole...huu mji unazidi kukomaa
Serikali ndio imevunjq mkataba inatafuta wawekezaji wengine na wasiwasi wafaransa wameishawishi serikali wakati mama alipokuwa ziarani France maana walionekana kuitaka port ya bagamoyo na walipokuja Tz waliifuatlia.Hii dead white elephant project waachane nayo.
Anajifurahisha tuu huyoKaribia kilomita 700 zinakaribia kuisha WWE unazungumzia kilomita 200 za trial
then why are you sounding as if trying to profile us 🤷🏻🤷🏼🤷🏿 why.?Kwani nimesema sio wakenya?
Hasa captain hawezi kutoboa.The captain and his crew have to be disqualified.
Hapa kuna mkono wa USA na France ili ku counter influence ya China Africa. Both countries have shown interest ku participate in Bagamoyo port construction. Hizi ni za ndani kabisa subirini muone kampuni itakayopewa.Na kama hawataki kufanya kama tunavyotaka sisi wenye mali basi waandike kwamba huo mradi haupo.