Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulikisoma f3 daah nimesahau mambo mengi sana
Yeah! Ni cha form 3,me napenda mikwara ya karani wa sensa Ngoswe mwenyewe alivyofall in love kwa Mazoea, halafu ule ujinga wa mila potofu kwamba muhesabu watu ni mchawi anataka awaroge.

Usimuone na sarawili zake kama kengele za bomani, ana akili nyingi sana, yaani kuwa karani ni bonge la msomi
 
Nyang'au hii timu ilimaliza number (7) saba sijui. na hapo kuna Bruno Gomez na wachezaji wengine wengi toka nje.

Hakuna timu Kenya yenye uwezo wakumlipa mchezaji hata $800, nyie ni maskini kama wenzenu wanaigeria na GDP zenu za mchongo (Fake Economies).

Ila dah! Mzee unapenda sana mazingira nimegundua ni kitu kiko damuni, ndio hivyo tena nani atatupangia kwa usafi na mpingilio wa kuvutia kama huu kwenye nchi zetu?
Moja ya matatizo ya vijana wengi wa Kiafrica ni ushamba. Hili nalo ni tatizo la huyo Mtembezi255. Wamefika ulaya wakiwa na umri mkubwa na kuona kila mtu ni hajui kama wao kwakua wao ni wageni wa mambo hayo. Sio kila jambo ni la kulaumu uongozi.
Hizo nyumba inachukua hata 25yrs kulipia na wengi wanafeli na zinakua repossessed.

Kuna aina flani ya investments watu na kampuni za huko hawawezi wekeza Africa kama ilivyo swala viwanda. Ni South Africa pekee ndio Europeans wamewekeza mno kwakua ndio makazi ya kudumu ya Wazungu wenzao. wamewekeza kwenye Estates, Viwanda. Nje ya SA nchi zingine zinajikongoja kwakua hawaji kuwekeza kwenye Umeme wa kutosha na bei nafuu kuvutia uwekezaji wa viwanda wala hawaivest viwanda vya maana zaidi ya Sabuni, Mafuta ya Kupikia. Ndio maana mimi nimesisitiza kuwa, ni vyema tujiweke sawa na NHC na mapungufu yake maana kuwasubiri hao, ni ndoto. Kenya tangu Uhuru waliruhusu uwekezaji wa privite kwenye makazi, angalia wapo wapi kwa sasa kimakazi? tatizo ni nini, hao wawekeZaji wako wapi toka 1960s??

Nchi pekee inaweza kufanya uwekezaji wa nguvu wa viwanda vyenye tija Africa ni CHINA.
 
Hapo umesema sawa labda na mimi nichangie kidogo. Most of African countries do not have good stable and predictable policies that can attract investments pia bureaucracy iko very high, lack of reliable infrastructure (roads, railways, ports, electricity, water, etc) ni shida pia japo hii ndio sehemu muhimu ambayo serikali lazima wafanye investment ya kutosha, pia kuna lack of skilled labour ni area nyingine muhimu serikali kuwekeza, business should be the domain of private sector not the government.
 
Uache porojo na domodomo nyingi kijana
Una hethi au nini Susan? This is so unlike you
Daraja la njia nane linakufanya uongee kama mtu hajasoma. Dar hakuna daraja kama hili na hakuna nafasi wala mpango wa kua nalo
Screenshot_20220807-210156.jpg
 
if only tanganyikans were brilliant enough... they could be able to note that nakuru is slightly larger than mwanza, and kisumu and eldoret are the same size as mwanza..

but the problem, this guyz are fools, we are used to them denying things that are even more than obvious..
the likes of The best 007 for instance and many many others..

they'll still insist that mwanza is the larger city of them all.! 🤔

Screenshot_20220808-062606_Earth.jpg
 
Moja ya matatizo ya vijana wengi wa Kiafrica ni ushamba. Hili nalo ni tatizo la huyo Mtembezi255. Wamefika ulaya wakiwa na umri mkubwa na kuona kila mtu ni hajui kama wao kwakua wao ni wageni wa mambo hayo. Sio kila jambo ni la kulaumu uongozi.
Hizo nyumba inachukua hata 25yrs kulipia na wengi wanafeli na zinakua repossessed.

Kuna aina flani ya investments watu na kampuni za huko hawawezi wekeza Africa kama ilivyo swala viwanda. Ni South Africa pekee ndio Europeans wamewekeza mno kwakua ndio makazi ya kudumu ya Wazungu wenzao. wamewekeza kwenye Estates, Viwanda. Nje ya SA nchi zingine zinajikongoja kwakua hawaji kuwekeza kwenye Umeme wa kutosha na bei nafuu kuvutia uwekezaji wa viwanda wala hawaivest viwanda vya maana zaidi ya Sabuni, Mafuta ya Kupikia. Ndio maana mimi nimesisitiza kuwa, ni vyema tujiweke sawa na NHC na mapungufu yake maana kuwasubiri hao, ni ndoto. Kenya tangu Uhuru waliruhusu uwekezaji wa privite kwenye makazi, angalia wapo wapi kwa sasa kimakazi? tatizo ni nini, hao wawekeZaji wako wapi toka 1960s??

Nchi pekee inaweza kufanya uwekezaji wa nguvu wa viwanda vyenye tija Africa ni CHINA.
Ni kweli NHC nyumba zao ni ghali kwa mwananchi mwenye kipato cha chini. Huwezi kujengewa nyumba ya 200m eti ununue hata kama ni miaka 20 bado ni ngumu.

Sasa kwanini serikali kupitia NHC isiwe na nyumba za gharama nafuu? Ardhi ni yao, vifaa vya ujenzi wanaagiza wao na wanaweza kuomba kupunguziwa kodi na TRA.

Hivi kipindi Nyerere anajenga nyumba nchi nzima kupitia NHC alitoa wapi pesa, aliwezaje, na sasa hivi shirika linashindwa nini.?

Serikali haitakosa lawama kwasababu imeruhusu ujenzi holela na kuharibu miji. Kutokuwa na kipato cha kununua nyumba ya gharama kubwa haimaanishi turuhusu makazi yasiyo na mipangilio.
 
Timu zitakazoshiriki CAFCL na CAFCC msimu huu.
Kwenye CAFCL, Simba na Yanga zote zitaanzia rounds za kwanza (1st round & 2nd round)
Kwenye CAFCC, Geita Gold FC itaanzia round ya kwanza, ila Azam itaanzia round ya mwisho kbsa ya pili ili kuingia makundi, hapa Azam washindwe wao tu kuingia makundi
20220808_080255.jpg
20220808_080219.jpg
 
Timu zitakazoshiriki CAFCL na CAFCC msimu huu.
Kwenye CAFCL, Simba na Yanga zote zitaanzia rounds za kwanza (1st round & 2nd round)
Kwenye CAFCC, Geita Gold FC itaanzia round ya kwanza, ila Azam itaanzia round ya mwisho kbsa ya pili ili kuingia makundi, hapa Azam washindwe wao tu kuingia makundi
View attachment 2317628View attachment 2317630
Kimsingi Tanzania Ina team sita CAF.Zanzibar 2 na Tanzania 4,Tanzania + Zanzibar=Tanzania
 
COMMONWEALTH GAMES 2022 CURRENT MEDAL STANDINGS (AFRICA )

1. Nigeria 30
2. South Africa 26
3. Kenya 16
4. Uganda 5
5. Cameroon 3
6. Mauritius 4
7. Tanzania 3
8. The Gambia 1
9. Namibia 4
10. Ghana 2
11. Botswana 1
12. Mozambique 1
13. Zambia 1

Source - Birmingham 2022

Cc@The best 007

Bado kwa sports naona mko sawa
 
Revealed: Diamond earned Sh1.2 million a minute for Raila show​

Monday, August 08, 2022
Diamond Platnumz

Tanzanian Bongo Artist Diamond Platnumz performing on stage during the final Azimio rally held at Kasarani Sports Stadium on August 6, 2022.
Photo credit: Francis Nderitu | Nation Media Group

By Sinda Matiko
Cultural, Arts and Lifestyle Journalist
Nation Media Group

It was a good day to be Diamond Platnumz on Saturday when presidential aspirant Raila Odinga made his last submission to Kenyans to vote him as the next president ahead of Tuesday’s General Election.

Diamond, together with his ex-girlfriend Zari Hassan, were busy planning a luxurious birthday celebration for their daughter Princess Tiffah in South Africa, who turned six on August 6, when a call came in.

He was needed to perform at Mr Odinga’s last campaign rally ahead of the elections the very same day.

Even though the Tanzanian hot minute performance at a fully packed Moi Stadium in Kasarani left a number of Kenyan artists unimpressed, particularly rapper Juliani, Diamond couldn't care less.

The Waah! hitmaker, made most out of it without wiping much of a sweat off his brow.

Diamond made millions in perhaps one of the shortest ever performances of his life and was off the skies back to South Africa to celebrate his daughter before the trolls began.

10-minute performance​

Nation has since established that for his roughly 10-minute performance at the final Azimio rally where the singer endorsed Raila Odinga, he was paid $100,000 (Sh11.9 million).

Diamond’s performance at Azimio’s final campaign rally, was meant to be a surprise in a last attempt to woo many youthful voters as Mr Odinga makes his fifth stab to become the president of Kenya.

The singer wasn’t in the picture as preparations for the last rally geared up, until three weeks ago when he was contacted and the conversation began.

Negotiations, Nation understands, kicked off, and being a season of politics in the country with politicians splashing millions for campaigns, Diamond knew too well he would make good money. He did so while campaigning for the late Tanzania President John Maghufuli, a close ally to Mr Odinga.

As such he had to raise his rate card from the normal $70,000 (Ksh8.2 million) he charges for an hour show outside Tanzania. Negotiations dragged a little bit and a fee of $100,000 was agreed and contract signed.

Outgoing Mombasa’s Governor Ali Hassan Joho is said to have been very instrumental in the negotiations.

“Kindly this is off the record, but the conversation to have Diamond perform at Raila’s rally had been in the pipeline for three weeks. The performance was actually sponsored by a tycoon in Tanzania, I am not sure if the tycoon is a businessman or a politician but clearly it seems it's someone well known to Azimio's principals. However, what I’m sure of is that Diamond was paid $100,000 for the Kasarani performance,” a source privy to the plans disclosed to Nation.Africa.

On Thursday, the singer, who will be having a string of tours in Europe and Africa beginning August 20, shared on his Instagram feed that he would be performing in Kenya on Saturday.

He didn’t reveal much details, leaving enough room for speculation with many Kenyans on social media divided as to where he would be performing between Azimio’s and Kenya Kwanza rally which was held at Nyayo Stadium in Nairobi the same day. Others wondered if he was going to perform at a private function.

It is, however not clear if the tycoon also footed the bill for the private jet used by Diamond into the country and back to South Africa.

As of July 2021, Diamond was charging $70,000 for a show outside Tanzania and $50,000 for shows within Bongo. The revelations were made by his manager and business associate Sallam SK during an interview with Wasafi TV.

Sallam also noted that other than the performance fees, event organizers also have to fly the singer on a private jet, and cover for meals and his accommodation in a 5 star hotel.

At Karasani, Diamond Platnumz gave an invigorating performance divided in two sets each before and after Raila’s speech.

He started by performing his 2019 ‘Baba Lao’ hit tweaking the lyrics a little in praise of Odinga and his running mate Martha Karua.

He also gave a short speech publicly endorsing Azimio's frontman.

Diamond returned at the conclusion of Mr Odinga’s speech where he was joined on stage by other Azimio leaders and Mama Ida Odinga and again gave a little performance for a few minutes before leaving for his jet via a helicopter to South Africa.

An irked Juliani described the performance as “distasteful”, while comedian Eric Omondi used the situation again to brand Kenyan artistes lazy.

tmatiko@ke.nationmedia.com

Back
Top Bottom