Kwani Kuna nchi iliyokatazwa kuzalisha mbegu au vifaranga vyake yenyewe?, Ni wazi kwamba vifaranga vya kisasa ni bora vinafsida kiuchumi, jaribu kuchukua hao kuku wa kisasa uwapamdishe na uwache watotoe uone vifaranga vitakavyozaliwa, hakuna aliyekatazwa kufanya hivyo.
Hivi bado unachukulia mfano wa Tanzania kulisha Kenya Kama mafamikio wakati nimekupa mifano ya Japan na Uholsnzi kulisha Dunia?. Kama Tanzania tutatumia Elimu ya GMO, tutazalisha mara x50 ya hivi Sasa
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app