Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NHC na TBA tatizo lao sio wabunifu halafu hata design za nyumba zao ni za kipuuzi sababu kila mtu anataka kula hapohapo mwisho wa siku unapata poor product lakini yenye gharama kubwa. Private sector inabidi wahamasishwe kwenye kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba alongside mashirika ya serikali
Kama TanRoads walivyokula hela ya Mwendazake kwa kujenga ki Intachenji kibovu kwa pesa nyingi ambacho ground ya chini bado inaleta jam..

Wa Ghana kwa pesa kidogo wamejenga kitu kikali 👇
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    31.1 KB · Views: 15
  • images.jpeg
    images.jpeg
    44.6 KB · Views: 17
Hii dead white elephant project waachane nayo.
Na wala hatuna mpango nayo, kiongozi mwenye akili kupita wote Africa aliyewahi kupita Tz alishaseti mipango ya nchi yake aliyoipenda kuliko zote duniani, so sisi wapendwa wake kamwe hatutoenda kinyume na mipango yake hata wahuni wakipiga kelele.
 
my take:

na kama kweli hii Jamiiforum ulianzishwa na watanzania na wala sio wakenya..! basi heko na kongole zangu kwenu nyie wabongo, hivi naona ni platform iliyo sondekwa vinoma kabisa 🔥😍 sisemi kitu..

vitu kama hizi internet platforms inakuaga sana sana inaundwa na kuokwa na magwiji wa kikenya, yani ICT Gurus and Wizards pale iHub, Upperhill. walio na tajriba ya hali ya juu, na pengine kwa kiasi wasouthafrica na wanigeria..

hivi, JF is just another 'facebook' or 'whatsApp' of its own customised kind..

but even more so, ahead of fb and whtapp, one can easily lay out his complaint to the readily available and listening admins, concerning content tht violates the rules, eg. violence incitements, sensitive political articles and even pornographic literature..

ntasema wabongo roundi mmejaribu sana..
yani sikutaraji kitu kama hiki iwe inatoka tz na wala sio iHub, Upperhill, yani vitu kama hizi inakuga sana sana yetu. hehe.. 😆😆..

naona wabongo, mnakuja sana. mzidi kujituma vivyo hivyo, soon tutawafungulia afisi kule konza technopolis😆
 
Back
Top Bottom