Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala si Samia ni utaratibu wa nchi inayoongozwa kisheria! Tony254 anajua ukiingiza mizigo Tanzania inakamatwa na unapigwa fine, ukishindwa kulipa mnada unafuatwa kulipia gharama za kesi na uharibifu wa mazao! Ni hilo tu!! Loliondo inangoja mifugo kutoka Kenya!

ipigwe mnada, hamna namna wapumbavu hawawezi kuharibu ardhi yao halafu walete mifugo kwenye ardhi yetu tunayoitunza kwa gharama kubwa.
 
Kwa hivyo local government by laws zenu zinaruhusu ng'ombe za jirani kupigwa mnada ndani ya siku mbili bila yeye kupewa fursa ya kulipa fine au kujitetea? Sheria hizo zinakiuka rules of natural justice.
ajitetee nini? mhamihaji haramu na mali zake zote ni haramu! chochote tunaweza kufanya juu yake
 
tuusan, please heb na tu heshimiane hapa, s.sudan $3b[emoji1427]View attachment 2310531
nb: we are only looking at the nominal gdp here, and not the ppp persé..

so hebu subtract $9b tafadhali....
so 133-9= $124b! ie. (tz+ug+rw+bu+ss)

whereas kenya alone........ $126b (2022)[emoji1427]

View attachment 2310492
Takwimu za Wikipedia ama wb ni zipi ziko sahihi?uache upuuzi
 
kumbe durban sio noma sana venye nilidhania [emoji848]

coz i still remember around 2003/04, we used to be told durban port, dwarfs mombasa port upto 12fold!!
na sasa....." hii dunia ni duara nanii.., usiwe na kibri....
aliye juu mngoje chini.

mpanda ngazi atakuta mwana si wake[emoji38]

asiyefunzwa na mamaye, mama yake sio 'madam'.

paka akiondoka, atarudi tena
maskini akipata hela, matter core huli
asiye kubali kushindwa, si nadhania wabongo tu jameni..

View attachment 2310501
Kwahyo unadhani mtawahi wafikia anytime soon?
 
kila siku nakusihi zingatia pia na idadi..
ke47m $114b
tz62m $67b
ngr230m $490b
sa60m $419b

hii isije ikakusababishia bp[emoji176][emoji175]
Data zako za uongo ke ni $110B izo nne umeongeza hamna
 
Let us just pull out of this stupid thing called EAC. It is just nonsense. Upuuzi mtupu. Kenya being a financial hub tunaambiwa kwamba we are the least qualified to host EA monetary institute. The hatred against Kenya from some of these losers and lazybones is too much. Wivu na majungu dhidi ya Kenya. EAC has become irrelevant.
Hiyo kamati imeundwa na raia wa nchi zote za EAC kwa idadi sawa, lazima mkubali kwamba Tanzania inawazidi katika vitu vingi ukanda huu, hata Bomba la mafuta pia mlilipoteza kwa sababu zinazofanana na hizi.

Sasa Kama hata wajumbe wa Kenya waliopo katika hiyo team iliyofanya huo mchujo wamekubali kwamba Kenya ni nchi ya hovyo kuliko hata Burundi, wewe ni nani kupinga Hilo?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hamuwezi kuja wakati ombaomba wenu have taken up every little space available on our streets with begging bowls on hand!
That's why you attract "ombaomba only", while Tanzania is the biggest source of your remittances in Africa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sofa gani unolaongelea wakati Nairobi is hosting all major agencies, UN bodies and international organisations of all sorts!?
Waulize hao wakenya wenzenu waliopo katika EAC secretariet ambao wamefanya huo utafiti na kuiweka Kenya kuwa ni nchi ya hovyo chini ya Burundi, kumbuka kwamba mtendaji mkuu wa Sasa wa EAC ni Mkenya, lakini pia amekubaliana na hiyo ripoti
Tony254
dyfre
Don YF

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kamati imeundwa na raia wa nchi zote za EAC kwa idadi sawa, lazima mkubali kwamba Tanzania inawazidi katika vitu vingi ukanda huu, hata Bomba la mafuta pia mlilipoteza kwa sababu zinazofanana na hizi.

Sasa Kama hata wajumbe wa Kenya waliopo katika hiyo team iliyofanya huo mchujo wamekubali kwamba Kenya ni nchi ya hovyo kuliko hata Burundi, wewe ni nani kupinga Hilo?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Burundi ni nchi ama ni kibanda?
 
Kwa hivyo local government by laws zenu zinaruhusu ng'ombe za jirani kupigwa mnada ndani ya siku mbili bila yeye kupewa fursa ya kulipa fine au kujitetea? Sheria hizo zinakiuka rules of natural justice.
Ajitete nini sasa wewe umerudi home umekuta mtu kamdandia mkeo live bado utataka mtuhumiwa ajitete tena?
 
Back
Top Bottom