Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The process will be repeated until Nairobi is selected. Take that to the bank.
We can give you the HQ and the parliament, but money issues is where we draw the line.
Hahahaha, Kama mlivyoshindwa kwenye East Africa tourist visa na kwenye Coalition of the willing, ninakuhakikishia by 100%, hata kwenye hili hakuna kitakachobadilika[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
In 2 weeks you'll not be dealing with the lazy drunkard.
You can as well walk out and host the SADC bank if it exists.
We'll not be bending over on this one.
Hahahaha, everything is in Tanzania, you have nothing in Kenya, we have upper hand on all decisions about EAC[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kitaalam vipi? Tunataka kusoma hio report yao ya upuuzi ili kujua wametumia vigezo gani. Isitoshe hakuna jinsi Tanzania ambayo inahost EA headquarters pia ipewe EACB wakati Kenya na Uganda hazi-host body hata moja ya EAC. EAC court pia ipo Tanzania. Hamuwezi host bodies tatu za EAC wakati Kenya na Uganda hatu-host body hata moja ya EAC. Hapa ndio nimeanza kuona kwamba kuna siasa chafu inayochezwa nyuma ya pazia. Afadhali Kenya iondoke EAC. EAC has become a joke. EAC ni upuuzi mtupu. Upumbavu mtupu.
Check EAC website to have a glimpse of the institutions and location.., if u click on each website u will notice they are spread across., I know Lake Victoria Basin Commission is based in Kisumu whereas Interuniversity Council for East Africa is based in Kampala., etc..,
 
1659347402724.png
 
You're not going to host the headquarters of EAC and also the Central Bank.
Better start rubbing that into your heads.
Uzuri wake ni kwamba wenye akili wameshaamua EACB headquarters itakuwa Tz mmebaki wahuni wa mitandaoni mkilia lia, hv ww kwa akili zako nani atakubali makao makuu ya taasisi muhimu kama hiyo yasiwe Tz? Sisi ndiyo baba hapa East Africa lazima taasisi muhimu kama hizo ziwe na makao yake makuu Tz kwa afya ya EAC.
 
Check EAC website to have a glimpse of the institutions and location.., if u click on each website u will notice they are spread across., I know Lake Victoria Basin Commission is based in Kisumu whereas Interuniversity Council for East Africa is based in Kampala., etc..,
Tz imechukua Bank [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom