dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
I usually pity those Tanzanians that always try to compare Mombasa with Dar es salaam.
kumbe durban sio noma sana venye nilidhania 🤔
coz i still remember around 2003/04, we used to be told durban port, dwarfs mombasa port upto 12fold!!
na sasa....." hii dunia ni duara nanii.., usiwe na kibri....
aliye juu mngoje chini.
mpanda ngazi atakuta mwana si wake😆
asiyefunzwa na mamaye, mama yake sio 'madam'.
paka akiondoka, atarudi tena
maskini akipata hela, matter core huli
asiye kubali kushindwa, si nadhania wabongo tu jameni..

