Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Hio ni heats tu. Hakuna Mlazy aliyeshinda chochote.Kwamba mbongo kashinda na huku au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hio ni heats tu. Hakuna Mlazy aliyeshinda chochote.Kwamba mbongo kashinda na huku au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
La hamjapata dhahabu ya kuogelea. Hizo ni heats. Naona wengi wenu hamtazamani riadha. Mlazy hawezi kushinda swimming. Swimming wazungu ndio watashinda. Sana sana Australia na USA.Hold on, kwahyo tumepata 🏅 ya dhahabu kwenye kuogelea.?
Kazi nzuri Sana ya Kuifungua biashara inayofanywa na Rais Samia ndio inafanya mzigo inaongezeka kwa sababu biashara imeimarika..Mzigo unaongezeka sababu ya Samia au sababu bandari zimejengwa na kuboreshwa kipindi cha JPM?
Utatokea na mapovu ya makamasi hadi unakufa..Hilo chizi hilo huwa tunali ignore mkuu, linakuambia mzigo umeongezeka kipindi cha Samia hapo hapo linajisahaulisha kwamba hizo bandari kazitengeneza JPM tena kipindi ambacho dunia inapitia hali mbaya ya uchumi kutokana na Corona.
Hivyo ndivyo uliambiwa na sisiemu ama uko na udhahidi?Weka mzigo unaotoka nje ya Kenya kama unazidi tons million 2 naondoka JF 😁😁😁😁
Mzigo wote huo unabaki kunyaland na ni misaada ya chakula
sababu za uganda zo upita angani ama?.Hivyo ndivyo uliambiwa na sisiemu ama uko na udhahidi?
Huu mji hauku-qualify hata kwenye shortlist!unasema nairobaa the only city, il hali ata mji kama mombasa hamna..
nb:
ni tz ndo nchi lenye jiji moja tu! in a land mass 947,000km²
View attachment 2310647View attachment 2310650View attachment 2310649
Safii sana kama wataweza wafanye mpango wa kutumia uwanja wa Chato ambao upo idle. Natumaini wana Chato wataruhusu!Baada ya NIT sasa chuo chanacho kufundisha masomo ya anga na urubani 👇
Hapo huwezi kuwaona Sukuma gang wote wamejificha kwa aibu..wameingia chini ya wabaView attachment 2310734
ama unamaanisha shortlist gani.. hii ama?Huu mji hauku-qualify hata kwenye shortlist!
Financial hub ya jua kali kazi kupika data hatutaki msije mkaharibu uchumi wa EA kwa mapishi yenu. Halafu hamna ubavu wa kutoka EA kaeni mtulie dawa iingie kama hamtaki Central Bank iwe Tanzania sisi tunaanzisha CoW mta join baadae [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Let us just pull out of this stupid thing called EAC. It is just nonsense. Upuuzi mtupu. Kenya being a financial hub tunaambiwa kwamba we are the least qualified to host EA monetary institute. The hatred against Kenya from some of these losers and lazybones is too much. Wivu na majungu dhidi ya Kenya. EAC has become irrelevant.
Shortlist ya EAC committee iliyo-select Arusha!
Unaumia ukiwa wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]La hamjapata dhahabu ya kuogelea. Hizo ni heats. Naona wengi wenu hamtazamani riadha. Mlazy hawezi kushinda swimming. Swimming wazungu ndio watashinda. Sana sana Australia na USA.
😂😂😂😂 siku hzi umekua mpole sanaWewe unaona nini bongolala?
Sababu ya mazingira wezeshi yanayochochea watu kufanya biashara na kufungua biashara mpya.Mzigo unaongezeka sababu ya Samia au sababu bandari zimejengwa na kuboreshwa kipindi cha JPM?
MY TAKE
Baada ya tourists, cargo trips to JKIA from northern Tanzania zinaendelea kutokomea! Safii sana kwa TCAA tunapaswa kuwa as independent as we can na hawa jamaa wa kaskazini!