Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti eeehhhh, lamba dawa kidogo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]


SGR ni jipya? You been talking about it for over 5years now... Told you after magufili Tanzania has stagnated in some way the projects you talk about are the same ones we been talking about for awhile now
 
Swali zuri sana hili na ndicho kinachonipa ukakasi.

Tukiangalia historia yake kama mfanyabiashara, miaka ya tisini, Bill Gates aliwahi kushitakiwa na serikali ya Marekani kwa sheria za ukiritimba (antitrust law). Chini ya uongozi wake, alizuia watumiaji wa Windows wasiweze kuchagua kampuni nyingine (mf Netscape Navigator).

Leo hii ameingia kwenye sekta ya afya na chakula, anamwaga pesa kama hana akili nzuri, unafikiri ni anafanya bure? Unafikiri ni kwa nini?
Bado hujajibu swali langu, unadhani anapata faida gani anapomwaga pesa nyingi Burundi kuzuia malaria?.

Bill Clinton anapata faida gani anapotoa pesa nyingi kupambana na Ukimwi duniani?.

Benjamin Mkapa Foundation inafanya Mambo makubwa hapa Tanzania, anapata faida gani yeye Mwenyewe?

Elton John anatoa scholarships za thamani kubwa kila mwaka, Je unadhani anapata faida gani?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Lol. Leo unajifanya kipofu.
Go back to all those Safaricom threads.

We compare Safaricom versus Vodadom, Tigo, Airtel etc. COMBINED.

Ata mchukue all your Telcos, muongeze za Rwanda, Burundi na Uganda, that is still less than 30% of Safaricom profit.

Clear sign of an LDC without much economic activity.
Unasemaje bruh,safaricom ndio inalipa kodi kiasi gani kwa serikali?unajisifia na kampuni ya wenyewe?
 
Unaona ujinga sasa? Hawakufungua kesi mahakamani. Mifugo ilikamatwa siku 2 zilizopita. Hii sio fair kabisa. Halafu mnadanganya kwamba mnafanya mambo kisheria.
Cc chongchung hamna fine waliyotozwa hawa watu. Nilijua tu mtafanya unyama huu.
Sasa nadhani unaelewa kwanini wakenya walipiga Sana kelele kuhusu Ngorongoro na Lolionda. Nimefurahi Sana kumuona mama Samia ameanza kuwajua ujinga na unafiki wenu na ameanza kuwashughulikia ipasavyo, mbona hatusikii zile kelele za Samia kuichukia Kenya?.

Nilikuambia hakuna kiongozi yeyote mwenye akili timamu ataweza kuishi na Kenya kwa amani na upendo, ninyi kiboko yenu alikua Magufuli, mkilianzisha Leo, kesho yake anajibu kwa nguvu zote.

Badala ya kuwalaumu hao wanaoingiza mifugo kila mara pamoja na matatizo yanayowakuta, lakini wewe bado unatafuta makosa kwa upande wa Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Waturuki wamechagua Kenya. Wanajenga factories sita kubwa kwa mpigo hapo Naivasha SEZ.

Kenyan To Head Ksh.91 Billion Turkish Manufacturing Project​

By Ian Omondi Published on: July 26, 2022 07:50 (EAT)
Kenyan to head Ksh.91 billion Turkish manufacturing project

President Uhuru Kenyatta with Turkish Industry Holdings President Mehmet Coskun and Kenyan businessman Mwaniki Munuhe during ground breaking ceremony of a Ksh.91 billion investment project in Naivasha on July 26, 2022. PHOTO | PSCU
  • This was announced during the ground breaking ceremony of a Ksh.91 billion investment project presided over by President Uhuru Kenyatta in Naivasha on Tuesday.
  • Mr. Munuhe, 36, now becomes the first African to ever be appointed to the role at Turkish Ceramic, Granite and Tiles SEZ throughout the corporation’s history.
The board of a Turkish manufacturing conglomerate has named Kenyan businessman Mwaniki Munuhe as Vice President in charge of its Africa Operations.
This was announced during the ground breaking ceremony of a USD 760 million (Ksh.91 billion) investment project presided over by President Uhuru Kenyatta at the Naivasha Special Economic Zone on Tuesday.
Mr. Munuhe, 36, now becomes the first African to ever be appointed to the role at Turkish Ceramic, Granite and Tiles SEZ throughout the corporation’s history.

ALSO READ​

Turkish Industry Holdings Vice President Abdulhakim Alici, who made the announcement before President Kenyatta, said Mr. Munuhe “is a testament that Kenya has some of the finest entrepreneurial skills in the world.”
“We met him a while back and in a short time he was able to contribute great value to our corporate global planning,” stated Mr. Alici.
“He has been an important part of our journey to Kenya and will henceforth lead the work that is ahead of us in Africa. We have full confidence that Mr. Munuhe is more than equal to the task that we are bestowing on him today.”
He added that the project will consist of six manufacturing companies, namely; Ceramics and granite, Sanitary hardware, Tissue paper, MDF, Aluminum, and Steel.
Mr Alici further said the investment will directly employ 2,860 people with an additional 45,000 people benefiting indirectly; further that it will pump into Kenya’s economy USD 550 million (Ksh.65 billion) annually.
“It was not easy to marshal an investment of this magnitude, especially as we were unfamiliar with Kenya investment infrastructure,” he said.
“But after a long and rigorous appraisal we became convinced that Kenya is the most attractive investment destination — politically, economically, and geographically — for large scale investments. We became convinced that Kenya offers us the greatest potential.”

TAGS:​

Mwaniki MunuheNaivasha Special Economic Zone

LEAVE A COMMENT​

COMMENTS​

No comments yet.


Watapita kimya kimya 🤣 🤣

 
Hatuleti umeme huko mzee mahitaji yetu ni makubwa sana as we are now connecting major mines in Tz to the national grid plus additional mines that are coming up.

On top of that we have needy neighbours from the South.
Maoni yako haya yatabakia tu hapo vijiweni, hauna ushawishi wowote, na uko na uelewa finyu sana, you are less than a decimal point in Tanzania 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mna njaa na mifugo ya Kenya. Wapuuzi sana nyie. Wanaume wazima wanashika mbuzi wa wenyewe na kuanza kupigania.
Lengo ni kuwakomoa muache kimbelembele cha kufuatilia Mambo yetu, hili ni miongoni mwa kujibu mapigo ya kitendo cha Kenya kuingilia Loliondo na Ngorongoro[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unasemaje bruh,safaricom ndio inalipa kodi kiasi gani kwa serikali?unajisifia na kampuni ya wenyewe?

30% corporate tax.
Taxes on Mpesa, transactions, airtime, internet etc.
On top of that, GOK owns 35% of the company. So 35% of the dividends.

Out of revenues of KSh250 billion.
Full year 2021, Safaricom paid Ksh106 billion in taxes to GOK. That is not counting the profit dividends.

Sisi ndio wenyewe.

How much did your Vodacom pay?

saf.JPG
 
then according to me vile tu naona.. while nairobi inazidi ku develop kila mahali kwa kasi sana... kwangu dar es saalam ime stagnate allover sudden! sio kama miyaka ya hapo nyumae around 2016-18, ambapo sisi sote EA tuli witness dar ikikuja, nakumbuka skyline ya dar iki transform hadi mimi nikajua sisi kwisha! wakenya wengi tulitia hofu kwamba Tz is coming to conquer east africa. ata vyombo vya habari na magazeti huku ilituarifu hivo kilawakati, kwamba "based on Tanzania's sustained and consistent huge economic growth, Darslam by 2020-22 will be EastAfrica's Economic Powerhouse, a hub of Commerce and Finance all major Int'l players will be focusing on, in this regional bloc, and that nairobi will be its predecessor, after a long time dominance......" hio bado nafahamu vizuri sana around 2016[emoji848]

lakini sasa wapi! Dar tayari imesha pose. hio flame[emoji91] imeshazima tayari. hehe[emoji2957] huku nairobi ikizidi kuteka anga za juu kila leo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1433] sasa ona leo ni 2022... nabadooo......
Miradi yote iliyokua imeanzishwa ambayo ndiyo iliyokua inawapa hofu, hakuna hata mmoja ambao umesima, yote inaendelea vile vile, wacha kujiliwaza
1)BRT phase 2&3
2)Tanzanite bridge
3) Flyovers
4)Dar Kibaha high way
5)Ujenzi wa masoko
6)Upanuzi wa bandari
7)SGR

Sema ni jambo gani ambalo unadhani limesimama kufanyika Dar?, tuambia kipi kipya kinafanyika Nairobi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
SGR ni jipya? You been talking about it for over 5years now... Told you after magufili Tanzania has stagnated in some way the projects you talk about are the same ones we been talking about for awhile now
Tell us new big projects in Kenya which was started after deaths of Maguli,[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Miradi yote iliyokua imeanzishwa ambayo ndiyo iliyokua inawapa hofu, hakuna hata mmoja ambao umesima, yote inaendelea vile vile, wacha kujiliwaza
1)BRT phase 2&3
2)Tanzanite bridge
3) Flyovers
4)Dar Kibaha high way
5)Ujenzi wa masoko
6)Upanuzi wa bandari
7)SGR

Sema ni jambo gani ambalo unadhani limesimama kufanyika Dar?, tuambia kipi kipya kinafanyika Nairobi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
it's not rocket science.. if a country is growing, it is growing.. you can just feel it by instincts. you can feel that vibrancy and energy in that country, without pointing at a particular project.. take the case of ethiopia rightnow, though it had also shown some sign of stagnation in the recent years after that initial wild growth..

other countries tht stagnated, but previously had wild growth are, angola, ghana, rwanda and even southafrica, though rghgnw southafrica has again re-embacked on an upward trajectory.

as in, in 2016, we realy felt the vibrancy of Tz's growth, but rightnw that energy is flat.. thru' instincts that is. i cannot tell you why, coz instincts is beyond science🤔 and dubbed the 6th common sense

nb:
but for kenya, we has shown a consistent growth eversince kibaki's second term, till date in 2022 during uhuru kenyatta's tenure
 
Mbona unanigeuzi kibao, mimi si ndiye niliyekuuliza hili swali mwanzoni, unatakiwa wewe ndiyo unijibu.
Mkuu, Bill & Melinda Gates na foundations zote duniani huwa lengo lake kuu ni kurudisha shukran na kusaidia jamii, hizo pesa wanazozitoa kiasi kikubwa sio zao, huwa wanazikusanya toka sehemu mbalimbali, wao kazi na jukumu kubwa ni kuzisimamia na kutekeleza malengo yaliyokusudiwa.

Kuna uwezekano mkubwa katika hizo pesa ambazo Bill &Malinda Gate imetoa kwa WHO, pesa iliyotolewa na Bill Gate mwenyewe haiwezi fika hata $50M.

Kama utasoma sababu iliyosababisha hizi NGO kuanzishwa kwake duniani, Wala usingekua na shaka kuona Bill Gate kutoa hizo pesa.

Fuatilia Warren Buffett alivyojibu kwanini yeye hatoi pesa kwa jamii Kama anavyotoa Bill Gate. Miongoni mwa wachangiaji wakubwa wa hizo pesa anazotoa Bill Gate Kama misaada, Warren Buffett ni miongoni mwao.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tunahitaji moto mingi zaidi.., uchumi kubwa ba mzee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpo na uwezo hadi wa luwachimbia visima wengine, kwanini msijitosheleze wenyewe kabla ya kwenda kuchimbia wengine?[emoji23][emoji23][emoji23].

Iweje hao mnaoanza kuwachimbia wawe na umeme wa ziada wa kuwauzia ninyi wachimbaji?.

Geothermal is expensive source of energy, after completion of dams in Ethiopia and Tanzania, Kenya shall import electricity from these countries by 80% of it's needs.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom