Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo mji wa chokoraa nani aje vibaka kila kona hatuwezi kuja huko security ni ndogo.
Hamuwezi kuja wakati ombaomba wenu have taken up every little space available on our streets with begging bowls on hand!
 
Physics is the process Mr. Obvious, getting the person who did it right is history. I am an engineer by profession, what are are you?
Engineer wa michoro ya nyumba a.k.a Architecture, huku kwetu kuna watoto hawajaenda shule wala nn na wanakucholea kuliko ww uliyesomea.
 
Let us just pull out of this stupid thing called EAC. It is just nonsense. Upuuzi mtupu. Kenya being a financial hub tunaambiwa kwamba we are the least qualified to host EA monetary institute. The hatred against Kenya from some of these losers and lazybones is too much. Wivu na majungu dhidi ya Kenya. EAC has become irrelevant.
Sasa mnangoja nini kujitoa nyie nyang'au?
 
Finals ama? naona Maina kamanuliwa chalii! pale Birmigham

Hawa hawana lolote linapokuja suala la michezo, bongo michezo yote tunaiweza. Wao mchezo wao ni mbio tu na hata kwenye mbio kama mtz akiwepo hapo juwa kwamba hakuna mkunya atashinda hizo mbio, yn cc ndio mabasha wao
 
And upperhill + CBD inside 😂😂😂 au nimesema urongoo???
😂😂😂
moizhusein_1642362358564836.jpg
 
Hawa hawana lolote linapokuja suala la michezo, bongo michezo yote tunaiweza. Wao mchezo wao ni mbio tu na hata kwenye mbio kama mtz akiwepo hapo juwa kwamba hakuna mkunya atashinda hizo mbio, yn cc ndio mabasha wao
Wewe umeongea kama mtanzania halisi, laced with usual hatred and jealousy. Tangu lini Tanzania ikawa juu kwenye michezo?

In the just concluded world athletics championships that took place in Oregon, Kenya ilimaliza katika nafasi ya nne duniani. Tanzania, on the other hand, did not win even a single medal in the event. Didn't Tanzania send athletes there? And if so, mbona hawakushinda wakenya as you imply?

Kenya is known as a rugby powerhouse and is one of the only two teams in Africa taking part in World Sevens Series. Hapa pia tumewahi kuwa mabingwa, which is a pipe dream to many Tanzanians.

In volleyball, Malkia Strikers is the best female national team in Africa, and has represented the continent in many world events. It is by far the most decorated team in Africa if you know what that means. Kenya has dominated the African continent, winning the Women's African Volleyball Championship a record nine times. No any other team has won it more than Kenya. The team has also qualified three times for the Olympics. Does Tanzania even has a volleyball national team and if yes, how successful is it in comparison to Kenya?

In swimming, our swimmers have won many continental and world titles. Kenya's Janson Danford has won gold medals at the Commonwealth Games, Universiade, All-Africa Games and African Championships, and reaching finals at the Olympics, World Championships and Short Course World Championships. He also held African, Universiade and Olympic records. Which Tanzanian has made such achievements in swimming? Kenya has also won bronze at African Games in swimming.

Bongolala, I can go on and on but mwishowe you'll resort to your usual empty rhetoric talk and matusi coz that's what Tanzanians know best, and probably the only sport they excell in!

Stick to story za vijiweni na udaku coz that's what Tanzanians know best. Mambo na michezo hamuwezani nayo
 
Because Nairobi is on the confluence of the cold and wet Central highlands and dry and hot Ukambani region. The expressway begins in the Ukambani region that is dry and ends in the Highlands that are very green and cold.
Vilaza kama vilaza na chuki zao za kila siku. When we post the leafy sides of Nairobi wanakerwa. When we post the dry side of it bado wanakerwa eti ooh Turkana. Hawa sasa tuwasaidiaje? Do they want us to post uswazi hovels kama zile zao walizozoea kuona kila mahali ndio wafurahi?
 
Kenya gdp $110B IS NOT EQUAL TO $133.66
Atleast uwe na Adabu

Tanzania gdp $67.77B
Uganda gdp $40B
Rwanda gdp $11B
Burundi gdp $2.9B
S.Sudan gdp $11.99B
tuusan, please heb na tu heshimiane hapa, s.sudan $3b👇🏽
Screenshot_20220801-000838_Chrome.jpg

nb: we are only looking at the nominal gdp here, and not the ppp persé..

so hebu subtract $9b tafadhali....
so 133-9= $124b! ie. (tz+ug+rw+bu+ss)

whereas kenya alone........ $126b (2022)👇🏽

Screenshot_20220801-001647_Chrome.jpg
 
We nae u update hizo data za Tz kwenye kichwa chako kila siku unaweka data mpya za Kenya ila za bongo unaenda na zile zile..

Latest GDP figure ya bongo ni $77B
aa aah!👐🏾👋🏾 sio sisi, heb waulize wao tafadhali, wao ndo watalamu, ata sisi sawa tu na nyinyi, hatujui kitu

Screenshot_20220801-002404_Photos.jpg
Screenshot_20220801-002932_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom